Kampeni za Mafanikio na elimi ya msingi-watoto waendelea kukaa chini! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kampeni za Mafanikio na elimi ya msingi-watoto waendelea kukaa chini!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kmp, May 21, 2010.

 1. kmp

  kmp Member

  #1
  May 21, 2010
  Joined: Jun 18, 2009
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [​IMG][​IMG]

  Shule ya Msingi Nduli, ni kilomita takribani 20 kutoka Iringa mjini kwenye jimbo la uchaguzi la Isimani. Pichani ni wanafunzi 120 wa darasa la kwanza chini ya mwalimu Daniela. Mazingira hayo ni magumu, wanahitaji kusaidiwa. Shule ina wanafunzi 670 na walimu 13.

  MMEM imefanya kazi gani jamani kama hali yenyewe ndio hii?

  Na mawaziri wanakuja kutueleza mafanikio katika uongozi wao, ni mafanikio yapi kama hali ndio hii katika shule zetu.

  Hii ni mjini, je vijijini kuna hali gani?


  Mweeeee jamani!!!


  Source:mjengwa.blogspot.com
   
 2. Mpogoro

  Mpogoro JF-Expert Member

  #2
  May 21, 2010
  Joined: Dec 7, 2008
  Messages: 361
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Yaani "SIRIKALI" ya CCM imewafanya wa-Tanzania waamini kuwa shule ni vyumba vya madarasa...hahahah!
  Kwa wananchi wanapojengewa vyumba vya madarasa basi wanaviita shule...jamani shule ina mambo mengi
  jamani.Kwanza kwa miaka hii "SIRIKALI" haina shule hata moja...yaani hata ambazo tuliachiwa na wakoloni
  tumeshindwa kuziendeleza na hazina tofauti na maboma au vyumba vya madarasa ambavyo tumeendelea
  kuvijenga kupitia kwa wahisani au kwa kutembeza bakuli!
   
Loading...