Mibalaa yamfata JK nyumbani

Mibalaa yamfata JK nyumbani

Mkono

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2010
Posts
568
Reaction score
89
Kuna ajali imetokea mlangoni mwa makazi ya rais maeneo ya Mikocheni ikihusisha lori aina ya Fuso baada ya kuingukia gari ndogo aina ya pick up, juhudi kubwa zilikuwa zikiendelea kuliondoa gari hilo hali iliyosababisha foleni kubwa kwa watumiaji wa barabara hiyo.

Kama kuna mwana JF anategemea kutumia njia hiyo kwa sasa hivi haifai.
 
ndugu uliyezungumzia mibalaa nyumbani kwa JK mbona umeonyesha kama vile kumekuwa na ajali nyingi hapo kwake? accidents can happen anywhere my friend regardless whether ni nyumbani kwa kiongozi au au kwa mtu wa kawaida. anyway nawapa pole waliofikwa na dhahama ya kuharibikiwa magari kwani inasemekana hakuna aliyeumia.
 
Wewe unasema 'accidents can happen anywhere'. But that is patently not true. Ajali nyingi zaidi zinatokea Chalinze katika jimbo la uchaguzi la JK.
 
Wewe unasema 'accidents can happen anywhere'. But that is patently not true. Ajali nyingi zaidi zinatokea Chalinze katika jimbo la uchaguzi la JK.

Hilo nalo neno! No wonder kaamua kupanua barabara ya Chalinze kuelekea Tanga bila bunge kuridhia!
God have mercy! I don't know where we are headed!
 
mi nataka mibalaa imfuate mpaka hata kwenye viatu vyake ...ananiudhi ka nini
 
Back
Top Bottom