Mgomo wa wafamyakazi umehishia wapi?

Mgomo wa wafamyakazi umehishia wapi?

stanluva

Senior Member
Joined
Apr 7, 2009
Posts
153
Reaction score
33
Samahani wana JF naomba kuuliza ule mgomo wa wafanyakazi nchi nzima umeishia wapi? Kama nakumbuka vizuri baada ya mgomo ule wa kwanza kusitishwa, TUCTA walitoa siku nane za majadiliano (Kwa waziri mwenye dhamana na wafanyakazi kutangaza kima cha chini).

Hivi kwani siku nane toka kipindi kile bado hazijaisha? Au TUCTA ni watoa porojo tu matendo sufuri? Au ni kauli (malengo) za kisiasa? Mdau mwenye data kamili kuhusu haya majadiliano yasiyofika mwisho naomba atujulishe! Maana naona kiiiiiiiimya?
 
Mkuu kwani hukusikiliza hotuba ya Mkulu wa inji?
watu wanaogopa kukosa vibarua vyao na kuwekewa vikwazo.
 
Akili ya Mgaya wafanyakazi wamechanganya na yao!
 
Waliambiwa watapigwa wameogopa!!! :target:
 
Back
Top Bottom