Mume ajaribu kujiua kwa kushindwa kuwatia mimba wake zake..! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mume ajaribu kujiua kwa kushindwa kuwatia mimba wake zake..!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Sajenti, May 19, 2010.

 1. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #1
  May 19, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Ukisikia duniani kuna vioja basi sikiliza kingine hiki. Bw. Salvatory Ndeje mwenye umri wa miaka 62 mkazi wa wilaya ya Mpanda mkoani Rukwa amenusurika kifo katika jaribio lake la kutaka kujiua kwa kujichinja kwa kisu kikali.

  Salvatory aliokolewa na wakeze wawili ambao baadae walimpeleka polisi ili apewe PF 3 kwa ajili ya matibabu. Baadaye alifikishwa mahakamani na kushitakiwa kwa jaribio la kujiua. Imeelezwa kuwa sababu kubwa ya bwana huyo kutaka kujitoa roho ni kushindwa kwake kuwatia mimba wake zake wawili aliowaoa miaka 40 iliyopita. Inasemekana kuwa kutokana na tatizo hilo kulitokea kutoelewana kati yake na wake zake hali iliyopelekea akina mama hao kumtishia kumkimbia na kwenda kutafuta utaratibu mwingine wa maisha hali iliyomchanganya Salvatory na kuchukua uamuzi wa kutaka kujitoa roho.

  Salvatory alifikishwa katika mahakama ya hakimu mkazi mapnda Deusidedit Magezi na hatimaye kuhukumiwa kifungo cha miezi mitatu jela. Tukio hilo lilitokea tarehe 9 May huko Mpanda.....
   
 2. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #2
  May 19, 2010
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Kosa alilofanya ni kuongeza mke wa 2.
   
 3. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #3
  May 19, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ...Tehhh! tehhh! Nguli una maana huenda mmoja wa wakeze huyu bwana aweza kuwa kama "Da Sophy"?? anababisha mzee kushindwa ku-perform??!!
   
 4. tete'a'tete

  tete'a'tete JF-Expert Member

  #4
  May 19, 2010
  Joined: Feb 10, 2010
  Messages: 474
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  JAMANI si angeomba msaada hapa JF wangemsaidia kutundika vitu....Lol vifo vingine mi nadhani ni vya kujitakia...
   
 5. M-bongotz

  M-bongotz JF-Expert Member

  #5
  May 19, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,732
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Angewasiliana na mimi ningempa mapacha dabodabo
   
 6. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #6
  May 19, 2010
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Jamani mbona taito mbaya hivyo?kuwatia mimba wake zake?hivi umeshindwa hata kutumia tafsida,hivi mimba inatiwa ee
   
 7. M

  Magezi JF-Expert Member

  #7
  May 20, 2010
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Labda mimba inapandikizwa au?
   
 8. b

  bwanashamba Senior Member

  #8
  May 22, 2010
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 193
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Taito mbona iko vizuri tu'kuna nyingine mbaya zaidi umu
   
 9. M

  Mike 1234 JF-Expert Member

  #9
  May 22, 2010
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 1,634
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kuwapa ujauzito ndio neno sahihi
   
 10. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #10
  May 22, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  KACHELEWA KWELI HIZO ZOEZI LA KUJIUA.... yaani he waited until amefikia miaka 62??? THERE MUST BE ANOTHER REASON AISEE, LABDA SENILE PROBLEMS
   
 11. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #11
  May 22, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  nimeipenda hiii

  hahaaaa
   
 12. M

  Mike 1234 JF-Expert Member

  #12
  May 22, 2010
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 1,634
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ndo maana tunashauri wataalam wasing'ang'anie mjini waende hata vijijini huko nako kuna matatizo mengi sana,huyu bw angepewa ushauri wa kitaalam asinge owa mke wapili,maana inaonesha ana matatizo inawezekana maji yanatoka lkn hayana uzazi,na hili ni tatizo kubwa kwa wanaume wao wakiona maji wanajua kila kitu kipo sawa, hivyo mama asipo pata ujauzito wanakimbilia kuoa mke wa pili kumbe tatizo ni yeye,pole sana mzee wangu,
   
Loading...