babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 16,313
- 20,904
ratiba ya wiki
jumatatu-jahazi modern taarabu-ddc magomeni.
jumanne-FM-academia ngwasuma -billz
jumatano-twanga billz
alhamis--machozi band-savannah lounge
ijumaa--hii ni kila ukumbi starehe na watu wamejaa.
jumamosi-twanga-mango garden-ngwasuma-mzalendo+++++
jumapili-twanga leaders,ngwasuma msasani,akudo msasani,twaanga tena usiku tcc.
watu siku zote za wiki mko kwenye kumbi za starehe mnafanya kazi saa ngapi??na hata mkienda kazini najua mnaingia bado hang over kibao au hata mnaenda huku mmelewa chakari mnajikausha tu hayo maendeleo yatakuja saa ngapi?ndo maana maofisini karibu yote ukienda kufuatilia kitu wafanyakazi wanakujibu kwa nyodo kishenzi na hata kukutukana na ukiendeleza maswali wanaweza hata kuondoka wakakuacha reception au ofisini masaa.wakenya wakiwapokonya kazi mnalalamika shauri yenu.