Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Housing & Dining Housing We have limited but well mannered accommodation services within and out of the University premises. International students are served with decent and reasonably priced...
0 Reactions
68 Replies
8K Views
Kwa ruhusa ya mwana JF mwenzetu KAKA JAMBAZI, natumia avatar yake ili tujadili vituko vya VIBAKA kwenye miji mikubwa EA hasa DSM. Juzi juzi nilikuwa maeneo ya CENTRAL police niliona mtu mmmoja...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wiki mbili zilizopita katika ripoti mojawapo ya magazeti yetu, yaliripoti mkutano wa maombi ya mamoja kwa madhehebu yote ya kikristo mjini Moshi kuombea Taifa. Na agenda kuu ilikuwa ni kuhusu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu naomba kuelewa kidogo mambo haya, nahisi kuchanganyikiwa 1. Kwanini Mwakalebela amepigwa chini na CCM, wakati Mramba ameachwa? Wote wanatuhuma zinazofanana na za Mramba huenda...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kama utaweza kujilimbikizia hizi senti unazotuma kwenye jikoki,mkoko nk na mwihso wa mwezi ukamtumia mama yako mzazi akaitemea mate ile simu akika utakuwa umebarikiwa zaidi hawa jamaa wako kwenye...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Niliipenda hii hoja, hebu tujadili. Nimekuwa nikifuatilia mjadala huu juu ya Zanzibar uliosababishwa na marekebisho ya 10 ya Katiba ya Zanzibar. Mawazo mengi yameshatolewa, mengine yakirejea...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nimesoma tahariri ya gazeti moja 'local' la huko kwa wenzangu nshomile kupitia blog yao lakini sikubaliani na maoni hayo. mosi,gazeti hilo lipo kwa maslahi ya kumlinda kagasheki,kamara na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wanajamvi Vijana/wafanyakazi wengi wengi mofisini iwe serikalini, makampuni binafsi tuko kwenye nafasi za kati au chini kitendaji.Lakini kuwa katika level ya chini ya utumishi au kazi...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Jamani hivi kuna watu wana roho mbaya namna hii, mh dunia hii hata hatumuogopi Mungu?ama kweli imeniuma sana nikiwa kama mzazi.
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Hi kuna taarifa nimeisoma michuzi kua leo TFDL wametangaza kua maziwa ya s26-gold na mengineyo ni feki yanasababisha watoto kuugua ini na figo so naomba ushauri kama kuna mtu ambaye anajua ni...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau mimi binafsi na ninaamini wakazi wengi wa jiji la Dar wanakerwa na vitendo vya kihalifu ambavyo vimekuwa kwa kasi kubwa. Watu wanakabwa na kunyang'anywa magari kama vile wizi wa simu; watu...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Peace be upon you... "RAMADHAN KAREEM TO ALL!!!!!!!!!!! Please look at the attachements for important information for all Muslims
0 Reactions
0 Replies
1K Views
by Brett Blumenthal - Sheer Balance, Although we like to think that the people in our lives are well-adjusted, happy, healthy minded individuals, we sometimes realize that it just isn't so...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Soda, pop, cola, soft drink — whatever you call it, it is one of the worst beverages that you could be drinking for your health. As the debate for whether to put a tax on the sale of soft drinks...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Maisha ya mwanadamu hayazidi miaka 70 wachache kuenda hadi 100 kwa wale waliojaaliwa kuishi umri mkubwa, achilia mbali life expectancy ambayo kwa Watanzania kufuatia UKIMWI kuwa tishio na...
0 Reactions
44 Replies
5K Views
Zamani wachungaji walikuwa wanawalinda na kuwaongoza kondoo. Siku hizi wameamua wenyewe kuwala kondoo Mwalimu mbaroni kwa rushwa ya ngono TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU)...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wapendwa, Baada ya kufanya kazi kutwa nzima sasa ni muda wa kwenda kupumzika na kuianza weekend kwa furaha, kwani naamini bado tumebakisha vijisenti vya kale ka-salary. Twendeni pale nanihii...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Jana kwa wale wanaopenda kusikiliza kipindi cha PB cha Radio - Clouds FM, Gerald Hando alivyokuwa akiwahoji vijana wa CCM waliopita katika kura za maoni akiwemo January Makamba walivyokuwa wakitoa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Hii imetokea mchana wa leo. Jirani yangu ana mtoto wa miezi minne ambaye huachwa na yaya. Yaya ana tabia ya kumuacha mtoto na kwenda kurusha roho na mume wa jirani yetu, nyumba ya nne toka nyumba...
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Wakuu mliopo Mbeya au Tukuyu,nimesearch mtandaoni na kuona baridi kali 4-8 Centigrade.Pale Uporoto si itakuwa 0 Centigrade? Hapa DSM tu hapalaliki, tupeni habari sehemu nyingine,Arusha,Lushoto,Iringa
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom