Mbeya: Baridi kali 4-8C! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbeya: Baridi kali 4-8C!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Lole Gwakisa, Aug 13, 2010.

 1. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #1
  Aug 13, 2010
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Wakuu mliopo Mbeya au Tukuyu,nimesearch mtandaoni na kuona baridi kali 4-8 Centigrade.Pale Uporoto si itakuwa 0 Centigrade?
  Hapa DSM tu hapalaliki, tupeni habari sehemu nyingine,Arusha,Lushoto,Iringa
   
 2. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #2
  Aug 13, 2010
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280

  Heshima kwako LG

  Mkuu Arusha jana ilikuwa balaa asubuhi tuliamka na manyunyu ikiambatana na baridi kali,Leo kuna baridi lakini si kama jana hata Serengeti baridi ilikataa kushuka
  .
   
 3. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #3
  Aug 13, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Mbeya ni soo, kuna mwaka (miaka ya tisini) snow ilianguka na kuufunika kabisa mji wa mbeya kwa zaidi ya siku tatu.
  Sumbalawinyo najua unakumbuka kipindi kile tukiwa sisimba shule ya msingi
   
 4. M

  Misterdennis JF-Expert Member

  #4
  Aug 13, 2010
  Joined: Jun 4, 2007
  Messages: 1,521
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 160
  Jana ilikuwa inakaribia 1 C
   
 5. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #5
  Aug 13, 2010
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,353
  Likes Received: 387
  Trophy Points: 180
  Ila Dar juzijuzi tu hapa kulikuwa na baridi dar,kama baridi inatesa huku dar mikoani Kama Iringa hasa Makambako kule?
   
 6. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #6
  Aug 13, 2010
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  EE bwanaee!
  Hapo kali kabisa
  Hapa Dar ni 18C na kwa kiwango cha Dar hiki ni kipupwe.
  Baharini hakukaliki upepo, hata hivyo mbu wame salimu amri, jhat hivyo vti vya bar zile za kutandikwa meza nje watu hawapo kabisa.
  Hapo Mbeya, Carnival nafikiri nje hamna mtu!!!
   
Loading...