Jikoki na tigo-hyundai za voda mchanga wa macho watanzania-watchout | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jikoki na tigo-hyundai za voda mchanga wa macho watanzania-watchout

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Aug 11, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Aug 11, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,441
  Likes Received: 5,693
  Trophy Points: 280
  Kama utaweza kujilimbikizia hizi senti unazotuma kwenye jikoki,mkoko nk na mwihso wa mwezi ukamtumia mama yako mzazi akaitemea mate ile simu akika utakuwa umebarikiwa zaidi
  hawa jamaa wako kwenye biashara wanafikiria jinsi ya kutuibia wanaishia na majina ya ajabu ajabu kwenye promotion zao

  ukiwa kama mtanzania kuwa macho acha kudanganywa na haya makejelei ya uko mwanza,uko mwebni,uko songea ...watasema wanayoweza jiulize unatumiwa msg ati umechaguliwa kuingia kiwenye shindano la mkoko tuma ........sh 550 ,,kwa niniw asiawaachie watu watume

  watch out
   
 2. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #2
  Aug 11, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Wiiiizi mtupu yaani hata sitaki kusikia wiiiizi mtupu
   
 3. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #3
  Aug 11, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  soko huria hiyo baba utaki usicheze ila watu wanapata hiyo ni bahati nasibu hiyo
   
 4. StaffordKibona

  StaffordKibona JF-Expert Member

  #4
  Aug 11, 2010
  Joined: Apr 21, 2008
  Messages: 671
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  This is UN-Acceptable
   
 5. O

  OgwaluMapesa JF-Expert Member

  #5
  Aug 11, 2010
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 10,948
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  ukituma wanaketea SMS ingine wanakuuliza swali ukijibu wanakula tena 550. kuna jamaa yangu walikula 7000 waizi sana hawa voda
   
 6. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #6
  Aug 11, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,473
  Likes Received: 4,130
  Trophy Points: 280
  Haya yote tunajitakia wenyewe, hivi unategemea hizo Hyundai zinanunuliwa na nini kama sio pesa hiyo ya promosheni!
   
 7. kaburunye

  kaburunye JF-Expert Member

  #7
  Aug 11, 2010
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 675
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mimi nilipokea ujumbe kuwa nimebahatika kychaguliwa na nikatakiwa kutuma SMS. Nilipo-ignore eti wakanitumia wito wa mwisho kunibembeleza kutuma SMS. Nimegoma. Najua ni wizi wa aina fulani hivi unaoruhusiwa kisheria - bahati mbaya. Mi siamini kufanikiwa kupitia bahati nasibu. Watanzania tuamke na hawa wezi wa kizazi kipya!!!
   
 8. D

  Diana-DaboDiff JF-Expert Member

  #8
  Aug 12, 2010
  Joined: Jul 13, 2009
  Messages: 380
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mimi haya mashindano ya kampuni ya simu sishiriki tena kwenye laini ya voda miaka 2 ilopita walitaka uchague kati ya miss Tanzania nani anamvuto na atakaetuma nyingi atashinda 10m nikatuma mara 200 alieshinda alituma mara 115.Kwenye Hundai ya Zantel nina pointi 3,000,500 najuwa gari litaenda visiwani wizi mtupu!!
   
 9. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #9
  Aug 12, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Juzi anko wangu(Mzee kiasi) alinijia nyumbani usiku kwamba ametumia sms na Vodacom kuwa ameshinda hyundai.
  Kuja kuichek hiyo sms, Lol!
  eti " Hongera imetokea jina lako limebahatika kuingia kwenye shindano.................."
  Walimchanganya kweli anko wako.
   
 10. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #10
  Aug 12, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  do you mean this is United Nations acceptable au una maana haikubaliki?
   
 11. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #11
  Aug 12, 2010
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,920
  Likes Received: 2,069
  Trophy Points: 280
  Aisee mpe pole huyo mzee! Najaribu kuimagine jinsi alivyokuwa excited halafu ukamwambia hamna kitu.
   
 12. Tuntu

  Tuntu JF-Expert Member

  #12
  Aug 12, 2010
  Joined: Jan 28, 2009
  Messages: 211
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Teh teh teh, huyu Anko wako hajatulia wala usiwalaumu Voda.
   
 13. M

  MathewMssw Member

  #13
  Aug 12, 2010
  Joined: Mar 27, 2009
  Messages: 92
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nilijaribu kufanya hesabu ndogo nikakuta haya makampuni yanapata faida kubwa sana kutoka kwa walalahoi! hebu tuchukulie mfano kutoka voda wanacharge 550 kwa kila sms ukichukulia wateja 2,000,000/= wanapata 110,000,000 mfano lila gari liuzwe 10,000,000/= inamaanisha wanapata faida ya milioni 100,000,000/=. Duh huu nao ni ufisadi?
   
 14. Tuntu

  Tuntu JF-Expert Member

  #14
  Aug 12, 2010
  Joined: Jan 28, 2009
  Messages: 211
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jana dogo wangu akanijia kuniomba nimwongeze pesa ili akanunue vocha kwani Vodacom wamemwambia kuwa anakaribia kuipata Hyundai, Kuicheck msg inasema "Songa uendelee Hyundai toka Vodacom inaweza ikawa yako ndani ya masaa machache yajayo", nlibaki kucheka tu na kumtuliza munkari, maana alishaniona nam-bania Hyundai yake.
   
 15. S

  SUYA Senior Member

  #15
  Aug 12, 2010
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 120
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Nimekuwa nakereka sana na hizo sms za makampun ya simu kwani jamaa wanawaibia watanzania maskin kwa kuchezesha kamari zao za dili
   
 16. Liz Senior

  Liz Senior JF-Expert Member

  #16
  Aug 12, 2010
  Joined: Apr 19, 2007
  Messages: 485
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Tena hizi za voda ndio zinaudhi kabisa maana wakikutumia ile ya kwanza hata kama hujajibu ile mashine inakupongeza kwa kuisogelea bahati! Kabisa inaonyesha jinsi wanakula hela ya wasioelewa...poor Tz maisha bora kwa kila mtanzania. Mnachangia kampeni za watu kijanja...maana zile sms za kuchangia kampeni mmeacha!
   
 17. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #17
  Aug 12, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,373
  Likes Received: 3,135
  Trophy Points: 280
  du......voda wameshindwa kushindana na tigo wanaamua kuwaibia watz kirahisi tu.............bora tu 2sicheze hiyo michezo ya bahati nasibu
   
 18. l

  longolongo Member

  #18
  Aug 12, 2010
  Joined: Mar 19, 2010
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani kuna mtu anajua jinsi ya kujitoa kwenye ile promotion ya ZAIN ...nimechoshwa na SMS zao.... :frusty:
   
 19. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #19
  Aug 12, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Wanawakamata watanzania wenye uroho wa kutaka vitu vya mtelemko.
   
 20. Wa mmoja

  Wa mmoja Member

  #20
  Aug 12, 2010
  Joined: Aug 4, 2009
  Messages: 99
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani wananchi akili kumkichwa sahivi....
  Hakuna cha bahati nasibu wala nini!
  Thubutu,eti shinda nyumba ya 100m kwenye himaya yako,bureeee,unachotakiwa ni kutuma namba yako ya usajili utakua umeingizwa kwenye droo!Amka mtanzania!!!Mi naamini washindi wanaandaliwa tu.Kitu chenyewe wanachotumia kuchezeshea ni computer,si unaweka settings tu mambo yanatiki!!!
  Tena hiyo bahati nasibu ya voda ndio sitaki kuisikia kabisa,wanakula tu hela za watu...wanatuma maswali marahisi halafu wanakuhamasisha uendelee kucheza...!
   
Loading...