Maziwa feki ya watoto wadogo kutoka china yamefika tanzania. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maziwa feki ya watoto wadogo kutoka china yamefika tanzania.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MAKALA, Aug 16, 2010.

 1. M

  MAKALA Member

  #1
  Aug 16, 2010
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 45
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Hi
  kuna taarifa nimeisoma michuzi kua leo TFDL wametangaza kua maziwa ya s26-gold na mengineyo ni feki yanasababisha watoto kuugua ini na figo so naomba ushauri kama kuna mtu ambaye anajua ni maziwa gani hapa kwetu ambayo kwa sasa yanafaa nikimaanisha hayajaanza kufojiwa,tafazali naomba nisaidiwe.
   
 2. alsaidy

  alsaidy JF-Expert Member

  #2
  Aug 16, 2010
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 334
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Hata NAN 2 yamepigwa marufuku na Serikali yanasababisha kifua kisichoisha kwa watoto.

  Mimi namtumilia mwanangu NAN 1 yako sawa.
   
Loading...