Unakubaliana na tahariri ya gazeti hili?

Rutunga M

JF-Expert Member
Mar 16, 2009
1,769
1,382
Nimesoma tahariri ya gazeti moja 'local' la huko kwa wenzangu nshomile kupitia blog yao lakini sikubaliani na maoni hayo.

mosi,gazeti hilo lipo kwa maslahi ya kumlinda kagasheki,kamara na masilingi na baada ya baadhi yao kungolewa wameanza kuwaandama akina mama Asumpta,Ana Tibaijuka

Isome hapa

gazeti lao linaitwa Malengo Yetu
 
We unashangaa hilo? bado yapo mengi utasikia na kuyaona,hayo ni mambo ya . Lakini inafaa kumkemea huyo mhariri.:mad2:
 
Back
Top Bottom