Pb - clouds fm na vijana (uvccm) waliopita kura za maoni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pb - clouds fm na vijana (uvccm) waliopita kura za maoni

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jethro, Aug 13, 2010.

 1. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #1
  Aug 13, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Jana kwa wale wanaopenda kusikiliza kipindi cha PB cha Radio - Clouds FM, Gerald Hando alivyokuwa akiwahoji vijana wa CCM waliopita katika kura za maoni akiwemo January Makamba walivyokuwa wakitoa Points zao??

  Kwa wana JF waliosikiliza sijui kama hawa vijani ni machachali kama Nape na sidhani watamfikia Nape, kwani Fikra zao na maoni yao na umri wao haviendani kabisa na mategemeo ya vijana kuingia bungeni na kutuletea mabadiliko, mfn hawa vijana walijaribu kutetea Illani ya CCM na mambo iliyo yafanya na sikuwasikia wao kama wao wamejiaandaaa vipi kurekebisha mapungufu ya Illani CCM na kubuni mikakati ya kuimarisha na kusimamia utendaji wa Illani ya CCM kwa watanzania, sasa najiuliza hawa watakuwa ni vijana tuwategemeao, au wana uwoga fulani ndani ya CCM au wanaogopa kupigwa mikwala kama Nape alivyotendewa?

  Mbaya zaidi kijana mmoja akasema kuwa Illani za vyama vingine hazina maaana nikamshangaa sana huku iko wazi kabisa baadhi ya vipengele ndani ya Illani ya CCM vimetokea vyama vingine na Illani ya CCM haikuwa navyo, Jamani hii siasa si kwa manufaa ya wana CCM tuu au ni kwa Watanzania katika kujenga nchi na kuitoa katika umaskini ulikubuhuu.

  Vijana wa CCM mliyoshinda kwenye hizo kura za maoni mkishindwa kweli rekebisha ILLANI ya CCM mnayoipigia debe na huku inamapungufu mengi basi miaka 5 mingine kamwe hamtaiona tena hamtaomani hiyo 2015.

  Toeni maoni yenu pia jukwaa lenu hili
   
 2. Mkosoaji

  Mkosoaji JF-Expert Member

  #2
  Aug 13, 2010
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 363
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Wote lao moja.
   
 3. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #3
  Aug 13, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Wote wataishia kuwa FISADIZZZ tuu CCM lao moja hata awe nani, dawa ni kusafisha tu uozo uliopo
   
 4. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #4
  Aug 13, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  wote hao Vuvuzelaaaaaaaaaaa hakuna kitu
   
 5. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #5
  Aug 13, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 160
  Mamluki - and - yet mnawaita VIJANA?
   
 6. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #6
  Aug 13, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  mnawaonea tu!
  mimi nilikuwa sijamuelewa january UNTIL I HEARD HIM JANA!...
  jamaa yupo vizuri sana upstairs

  ifikie mahali tuzungumze na ukweli kidogo wajomba
   
 7. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #7
  Aug 13, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Unaweza ukawa upstairs good lakini ku implement sasa ndipo ngoma.

  Na kama uko kwenye siasa mkuu utajua kwanini twaliongea hili, ila sikataai kwa ulivyosema ni kuwa umemsikia January Makamba jana tuu hapo sito kulaumu sana ila nakuomba fuatilia sasa kwa umakini utajua na hizo Illani zao za CCM.

   
 8. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #8
  Aug 13, 2010
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,753
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  January yupo fit kimaelezo anafaa BUMBULI... Kuliko hata Seru-rope... Zaidi ya yote nimefurahi sana kwa yeye kum-BUMBULIZE... Shelukindo... Miaka yote hawana HIGH SCHOOL? LOL
   
 9. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #9
  Aug 13, 2010
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  You are judged by the company you keep. I do not expect this young man to bring about profound changes but to continue with the status quo.
   
 10. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #10
  Aug 13, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,605
  Likes Received: 6,175
  Trophy Points: 280
  Kama unaamini kwamba mageuzi ndani ya CCM yanawezekana (kuna wengine hawamini hili, nataka ku suspend that thinking for a minute for the sake of analysis) utajua kwamba kwa jinsi CCM ilivyo, hata kama mtu anataka kufanya mabadiliko, hawezi kuanza hilo kwa kutangaza Clouds FM.

  CCM is a top-down party, you don't get to be influential by being different and revolutionary, you get to be influential and climb the ladder by kissing other people's bottoms (especially the elders) and playing the nice kid.If you look at Kikwete's ascent to power you will see he clearly played by this book. Hatujamsikia Kikwete kuwa mkali mpaka alivyopata urais juzi anawakaripia walimu, anajua kashapata ukubwa hamna mtu anayeweza kumtisha.

  Kwa hiyo CCM imejaa u-Makaveli na hata kama kuna kijana mwenye akili anataka kuleta mabadiliko hawezi kusema hayo wazi kwenye radio. Ndiyo maana ni vigumu sana kumjua nani ni nani CCM, kwa sababu nature ya chama haitaki mtu aonyeshe makucha yake mpaka akipata nafasi ya juu kabisa.

  Ndiyo maana naona CCM ni chama kinachojali undumilakuwili zaidi ya ukweli wa kuwasaidia wananchi. Mtu kama January at this point hata akishindwa kuwa a clear revolutionary na kuja na mapendekezo ya kuibadilisha CCM tunashindwa kujua anashindwa kufanya hivyo kwa kuogopa kuonyesha makucha yake katika system ya CCM, au ni mtu wa old guards kina Yusuph Makamba na Kikwete na hana interest kuharibu system iliyopo sasa.

  Hii ndiyo sababu mtu controversial kama Nape anaweza kuwa errand boy na kutumiwa kama Tingatinga jipya tu, lakini asipate position of influence katika CCM, wanaona huyu mbona anasema sana, asije kuchukua chama na kutubadilikia kabisa.

  Of course kuna wengine wanaamini kwamba CCM is irredeemably lost, na mtu kuingia CCM hata kama una nia nzuri utamezwa na forces of darkness within CCM.
   
 11. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #11
  Aug 13, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Change zipo na zinakuja birashaka hapo nakubaliana nawe na zitakuwa humo humo ndani ya chama chenyewe bila kubisha  Do you really think ndio Democrasia ya kweli kwa kizazi kilichopo na mpaka lini chama kikubali free democracy ndani yakeeee????

  Na kwanini mpaka upate ukubwa na ndio uonyeshe mabavu(makucha) yako which mean kuna mambo mengi ya kurekebishwa pia during mageuzi ya ndani ya CCM. na hili liko wazi kuwa viongozi walioka ndani ya CCM wanaongoza chama kwa woga na kuviziana au kulia timing mwenzio kiswahili cha mtaaani

   
 12. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #12
  Aug 13, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,605
  Likes Received: 6,175
  Trophy Points: 280
  Nilisema hapo juu

  So obviously sioni CCM ina Demokrasia ya kweli, na CCM haiwezi kukubali free democracy mpaka iwe forced kufanya hivyo. Na itakuwa forced kufanya hivyo na wananchi, kwa mfano kwa kutoa pressures za kukubali "private candidates" ambao watatoa pressure kwa CCM kufanya vizuri zaidi katika grip yake kwa wanachama wake.

  CCM ni kama Mafia zaidi kuliko chama halali cha siasa.
   
 13. m

  mwita ke mwita JF-Expert Member

  #13
  Aug 13, 2010
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 5,470
  Likes Received: 1,211
  Trophy Points: 280
  :welcome::mad2:kijana utamtambua kwa mawazo yake si kwa umri wake hao wanaoitwa vijana ni kwa sura tu ila kimawazo ni wazee zaidi ya malecela na munga
   
 14. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #14
  Aug 14, 2010
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Tata,'
  Karibu sana jamvini.
   
Loading...