Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wana jf, nimesikia kutoka radio clouds kuwa mtoto aliyetaka kwenda uk ameangukiwa na mbao pale dar airport. Mwenye taarifa zaidi atujulishe.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Rais wa zamani wa Nigeria, Olesegun Obasanjo amesema maisha ya wakulima hayana mvuto kama ilivyo ya wanasoka au watangazaji maarufu wa televisheni hali ambayo inachangia kwa kiasi kikubwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Katika kuishi kwangu, kuzaliwa kukulia nakusoma NA KUFANYA KAZI katika jiji la DAR,nnaweza kusema ilikuwa jambo la bahati sana, manake kuna watanzania wengi hawajawahi kufika DSM. Lakini mtazamo...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Wana ndugu hebu wekeni mezani elimu ya makamba maana napata taabu kwelikweli kutambua makamba kasomea nini au ana elimu kiwango gani?
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Kampuni za simu nilizotaja hapo juu zinagawana wingi wa wateja ktk soko la mitandao ya simu nchini. Ili kuwamotisha wateja kampuni hizi zimekuwa zinaandaa na kuendesha bahati na sibu mbali mbali...
0 Reactions
23 Replies
5K Views
By Daily Mail Reporter Last updated at 9:49 AM on 3rd September 2010 A boy of 15 who has never been to school has become the youngest student for more than 200 years to win a place at Cambridge...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hallow wanajamii hamjambo jamani na wakubwa heshima zenu I m just joining today hope we will be together as long as JF exists
0 Reactions
2 Replies
1K Views
'Brain haemorrhage' SMS causes panic in Kenya A text message being sent around claims 27 people have died after picking up calls from numbers listed in the SMS Kenya's telecommunications...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Akiwa anaelekea katika shughuli zake za kila siku katikati ya jiji majira ya asubuhi jana, na amelazwa MOI. Amevunjika mguu mara 2 wa kulia mkono wa kulia pamoja na maeneo ya kichwa yamepata...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Wana bodi, Yule mwana mpotevu kwa jina la 'KULIKONI', (Gazeti), amerejea rasmi nyumbani asubuhi ya leo, kwa kumkuta amejibanza tena kwenye meza za magazeti, hivyo kuufuta ile dhana kuwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
tunampa hongera!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Na Hidaya Kivatwa Mkazi wa Kimara Abduswamadu Shabani (25), mwalimu wa shule ya kiislwamu (madrasa) ya king'ong'o amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi wilayani Kinondoni kwa tuhuma za...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hivi nyie akina dada mimi siwaelewi na mitindo yenu ninani anawashika masikio?? Mfano naanza na pochi walikuwa navipochi vinaitwa kipima joto vidogo!sikuhizi unakuta mwanamke anapochi yakubeba...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Mwana Jamii Forum mwenzetu anayejulikana kwa jina la Azikiwe, jana asubuhi alinusurika kifo baada ya kukumbwa na ajali mbaya. Alikuwa akiendesha pikipiki ndipo alipogongwa na gari na...
0 Reactions
43 Replies
4K Views
Dawa za serikali huibiwa barani Afrika Wagonjwa wa Malaria Wagonjwa wa Malaria Matokeo ya utafiti umethibitisha kuwa dawa za kutibu ugonjwa wa Malaria, zinazotolewa kwa nchi kadhaa barani...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
source:raiamwema Kagame: Wa nje hawataki kuamini maendeleo ya Rwanda Mwandishi Wetu Septemba 1, 2010 Rais Paul Kagame wa Rwanda hivi karibuni alipata ushindi mkubwa katika uchaguzi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
"Mambo ya SERIKALI hayo.....hehehe inafurahisha sana! kumbe hela tunazo eeh" Na Boniface Meena Kampuni nne za miradi ya kuchimba madini zimefanikiwa kupata mkopo kutoka SERIKALINI kupitia...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…