Mtoto aanguka na kufa airport

Mtoto aanguka na kufa airport

Gama

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2010
Posts
13,264
Reaction score
4,744
Wana jf, nimesikia kutoka radio clouds kuwa mtoto aliyetaka kwenda uk ameangukiwa na mbao pale dar airport. Mwenye taarifa zaidi atujulishe.
 
hizo habari na mimi nimezisikia,wanaishi u.k mji wa birmingham.walikuwa wanarudi zao u.k,walienda holiday Tanzania
 
Inasemakana hapo J.K Nyerere airport hata Ambulance hakuna, sijui wanasubili adondoke Pinda au Kikwete ndo waone umuhimu wa kuweka kwa tahadhari?
 
Inasemakana hapo J.K Nyerere airport hata Ambulance hakuna, sijui wanasubili adondoke Pinda au Kikwete ndo waone umuhimu wa kuweka kwa tahadhari?
au ndiyo ile iliyoko kwenye msafara wa mgombea urais fulani?
 
Back
Top Bottom