Weledi wa makamba

kichenchele

JF-Expert Member
Jun 28, 2010
539
176
Wana ndugu hebu wekeni mezani elimu ya makamba maana napata taabu kwelikweli kutambua makamba kasomea nini au ana elimu kiwango gani?
 
Mimi naona Makamba yuko effective sana kwenye nafasi aliyonayo na ndio maana haachi kuwa gumzo vinywani mwa wapinzani wake.
 
Makamba anaelimu ya darasa la saba, nasikia aliwahi kuwa mwalimu , kisha mwanajeshi. zaidi ya yooote ndio mwanaCCM mwenye akili zaidi , ikihisiwa IQ ni kubwa kuliko woooote na anaaminika zaidi, na anakarama ya uongozi kuliko ccm wooote na ndio maana kwa kutumia uwezo wake wakufikiri alishawishi kuajiriwa kwa Tabwe Hiza , Chiligati kama wasaidizi wa mwenyekiti wa ccm Taifa, ni yeye alieshauri fomu yakutafuta wadhamini Ya JK itembezwe na Ridhwani.kile kichwa adimu ccm.
 
:becky::becky::becky::becky:
 
Jamani mbavu zangu mie lol!:becky::becky::becky::becky::becky:
 
Wana ndugu hebu wekeni mezani elimu ya makamba maana napata taabu kwelikweli kutambua makamba kasomea nini au ana elimu kiwango gani?

January mwanawe wa kumzaa anapata tabu na Babae anajua kuwa ni mbwatukaji sembuse ww ndugu yangu wa mbali na ukoo wao tabu lazima uipate
 
makamba anaelimu ya darasa la saba, nasikia aliwahi kuwa mwalimu , kisha mwanajeshi. Zaidi ya yooote ndio mwanaccm mwenye akili zaidi , ikihisiwa iq ni kubwa kuliko woooote na anaaminika zaidi, na anakarama ya uongozi kuliko ccm wooote na ndio maana kwa kutumia uwezo wake wakufikiri alishawishi kuajiriwa kwa tabwe hiza , chiligati kama wasaidizi wa mwenyekiti wa ccm taifa, ni yeye alieshauri fomu yakutafuta wadhamini ya jk itembezwe na ridhwani.kile kichwa adimu ccm.
bwaaa haaaaa ,kwakwaaaaa kwawawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
BornTown:"January mwanawe wa kumzaa anapata tabu na Babae anajua kuwa ni mbwatukaji sembuse ww ndugu yangu wa mbali na ukoo wao tabu lazima uipate"

ktk moja ya posts za leo .. au jana imeelezwa kuwa January ni mwanae wa kufikia kwa mke mhaya na wala sio mwanae wa kumzaa... aliyetoa hoja hiyo anaweza akathibitisha hilo.
 
mm nnashawishika kuamini kuwa makamba ni tishio la CHADEMA na hawapi raha hata kidogo maana inaonekana hata wakilala wanamuwaza makamba wakinywa pia.

sasa msijidai ooh mropokwaji semeni kiboko yetu, pasua kichwa ngoma nzito na mengine
 
Back
Top Bottom