Flora Mbasha afungua studio

kilimasera

JF-Expert Member
Dec 2, 2009
3,068
268
MUIMBAJI mahiri wa nyimbo za Injili hapa nchini, Flora Mbasha, amefungua studio yake inayokwenda kwa jina la Flem.
Kwa mujibu wa msanii huyo, Flem Studio iko Tabata Kimanga jijini Dar es Salaam na wamepania kutoa kazi zenye ubora wa uhakika na gharama nafuu.

Mbasha alisema katika studio hiyo wanarekodi Audio na Video katika viwango bora na gharama nafuu.

Pia aliongeza kuwa pia kuna huduma ya hosteli, ambako malazi ni bure kwa wale wanaotokea mikoani.

Msanii huyo anatamba na nyimbo zake mbalimbali zenye ujumbe wa kumsifu na kumwabudu Mungu zikiwemo, Tanzania , Unifiche , Maisha ya Ndoa , Aliteseka , Jipe Moyo , Furaha Yako na nyinginezo.
 
mjinga sana na hana roho wa mungu hata kidogp ameangalia pesa kwenye swala la kumuheshimu mungu hana lolote ndiyo manabii wa uongo wanajidai wanahuburi neno kwa kupitia injili kumbe ni unafiki tosha tena asije kupita mbele yangu nitamtemea mate na juu ya shughuli zake hizo asifike mbali
 
MUIMBAJI mahiri wa nyimbo za Injili hapa nchini, Flora Mbasha, amefungua studio yake inayokwenda kwa jina la Flem.
Kwa mujibu wa msanii huyo, Flem Studio iko Tabata Kimanga jijini Dar es Salaam na wamepania kutoa kazi zenye ubora wa uhakika na gharama nafuu.

Mbasha alisema katika studio hiyo wanarekodi Audio na Video katika viwango bora na gharama nafuu.

Pia aliongeza kuwa pia kuna huduma ya hosteli, ambako malazi ni bure kwa wale wanaotokea mikoani.

Msanii huyo anatamba na nyimbo zake mbalimbali zenye ujumbe wa kumsifu na kumwabudu Mungu zikiwemo, Tanzania , Unifiche , Maisha ya Ndoa , Aliteseka , Jipe Moyo , Furaha Yako na nyinginezo.

Itatusadia nini kama sisi??
ina manufaa gani kwa walalahoi wa Tanzania??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom