sasa hapo wanapotengenezea kama sikosei ni sehemu ya maji machafu,ina maana ndio wanayoumia? Niliwahi kusikia kuwa gongo hutengenezwa pia kwa kinyesi cha binadamu, naomba nipatiwe uhakika
Waste picture i have ever seen this year2010!
ndio matokeo ya ugumu wa maisha
![]()
hapa naona kama kitu kimeachia....hivi huo mlipuko utakuwa tofauti na bomu?
ha ha ha Preta, u didnt reach my calls the reasons are best known to yuaselfu. mtambo uliachia hapo na si ajabu alikufa mtu