Breaking news! Abood laua kibaha sasa hivi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Breaking news! Abood laua kibaha sasa hivi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by LoyalTzCitizen, Jan 4, 2011.

 1. LoyalTzCitizen

  LoyalTzCitizen JF-Expert Member

  #1
  Jan 4, 2011
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,807
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Habari nilizozipata sasa hivi ni kwamba basi la Abood lililokuwa linaelekea Morogoro toka Dar limepinduka Kibaha Maili Moja na limeua watu kadhaa! mwenye habari kamili na idadi atupe Thank you!!
   
 2. Mathias Byabato

  Mathias Byabato Verified User

  #2
  Jan 4, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 908
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  Pole sana abiria,mungu awaponye majeruhi
   
 3. m

  mbongopopo JF-Expert Member

  #3
  Jan 4, 2011
  Joined: Jan 24, 2008
  Messages: 1,112
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  poleni abiria walioumia na wafiwa, may the R.I.P
   
 4. Twilumba

  Twilumba JF-Expert Member

  #4
  Jan 4, 2011
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 6,148
  Likes Received: 878
  Trophy Points: 280
  Ni kwamba Abood iligonga waendesha pikipiki wawili waliokuwa barabarani na walifariki hapohapo. Lakini nalo lilipinduka na kukawa na majeruhi 35 waliokimbizwa hospital ya Tumbi kibaha na inasemekana wote wameruhusiwa. Hakuna kifo kwa abiria waliokuwemo kwny basi!
   
 5. LoyalTzCitizen

  LoyalTzCitizen JF-Expert Member

  #5
  Jan 4, 2011
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,807
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Nasubiri wakuu wenye kujua limeua wangapi maana hapa nahangaika kupigia simu wadogo zangu walikuwa wanondoka jioni hii kurudi Moro baada ya Harusi!
   
 6. LoyalTzCitizen

  LoyalTzCitizen JF-Expert Member

  #6
  Jan 4, 2011
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,807
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Mkuu thanks a million for this very important news! hhhhhhhhhop! now i can breath! Mungu wawabariki ndugu wa wale wafiwa ktk ajali hii! poleni sana na RIP those poor cyclists.
   
 7. K

  Kamongo JF-Expert Member

  #7
  Jan 4, 2011
  Joined: Mar 20, 2009
  Messages: 494
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Hii Abood company sijui ina nini kwani mnamo tarehe 1 dec 2010,iliua watu 2 pale misugusu ikapinduka haijatangazwa,jana maeneo ya kibamba shule basi lao likagonga tex,leo maili moja,
   
 8. K

  Kamongo JF-Expert Member

  #8
  Jan 4, 2011
  Joined: Mar 20, 2009
  Messages: 494
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Baada ya mwezi wananunua mabasi 20 mapya duu tutaisha
   
 9. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #9
  Jan 4, 2011
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  hakuna mapya! inanunuliwa chasis ya lori la fiat linajengewa bodi la basi
   
 10. C

  ChiefmTz JF-Expert Member

  #10
  Jan 4, 2011
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 2,521
  Likes Received: 292
  Trophy Points: 180
  Ish! Mbona habari hii nimeisikia tangu asubuhi ikidai kuwa basi la Abood kutoka Tunduma ndo lililopata ajali. Which is which au ni calculated mission
   
 11. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #11
  Jan 4, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  kawaida tu siku hizi, ingawa vifo havizoeleki!
   
 12. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #12
  Jan 4, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  poeni wafiwa. na majeruhi tunawaombea mpone haraka
   
 13. T

  Taso JF-Expert Member

  #13
  Jan 5, 2011
  Joined: Jun 12, 2010
  Messages: 1,653
  Likes Received: 460
  Trophy Points: 180
  kuna wenzako, raia wawili, wamekufa, huwezi kusema "now I can breath" sababu ndugu zako wamepona

  heartless pinhead
   
 14. LoyalTzCitizen

  LoyalTzCitizen JF-Expert Member

  #14
  Jan 5, 2011
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,807
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Mkuu thanks a million for this very important news! hhhhhhhhhop! now i can breath! Mungu wawabariki ndugu wa wale wafiwa ktk ajali hii! poleni sana na RIP those poor cyclists.

  Iam not sure if i am the one who is pinhead or you are Mkuu! Check that red bit! have a good day!
   
Loading...