matibabu katika hospitali za serikari ni mtihani kwa raia!

kituro

Senior Member
Dec 25, 2010
176
15
ndugu zangu hali siyo shwali katika hospital ya rufaa ya wazazi meta iliopo mjini mbeya, mie nilienda kumsalimia shemeji yangu (mke wa rafiki yangu) cha ajabu leo anasiku ya tano kwani alipelekwa hospitali mwakajana tarehe 31/12/2010. cha ajabu madaktari jinsi wanavyo muatend utadhani ni zamuyao kuwasalimia wagonjwa kama tunavyofanya sisi ndugu jamaa na marafiki siyo wauguzi. mpaka leo hawajampima wala hana dawa yoyote aliyopewa. je nini kifanyike ili aweze kutibiwa pamoja na kupewa huduma anayostahili?
 
Tangaza dau mkuu... huko bila rushwa mambo hayaendi. wahini kabla hamjampoteza mtu wenu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom