TFDA orders withdrawal of Jay Dee bottled water | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TFDA orders withdrawal of Jay Dee bottled water

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ustaadh, Jan 5, 2011.

 1. Ustaadh

  Ustaadh JF-Expert Member

  #1
  Jan 5, 2011
  Joined: Oct 25, 2009
  Messages: 413
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Dar es Salaam. The Tanzania Food and Drugs Authority (TFDA) has ordered the agent and manufacturer of Lady Jaydee pure drinking water to recall all its products from the market.The water produced and packed by the A-One Products & Bottlers Ltd (APBL), a subsidiary company to Mohammed Enterprises Ltd (METL), was launched last Thursday at Paradise Hotel in the city without following procedures when introducing the product into the market like any edible product, TFDA said yesterday.

  The water will not be under a company owned by the famous Zouk musician, Judith Wambura, popularly known as Lady Jay Dee.
  Speaking to The Citizen, the authority’s acting director general, Mr Hiiti Sillo, said apart from ordering the company to recall its products, they had also deployed the officers at various places to impound the products.
  He also said that the officers had yesterday gone to the manufacturing site in Kurasini area just to see what stock the manufacturer has already produced.

  “What we are looking for is just caring for public health, that is why we decided to intervene after we established that the product has not been registered by our office,” said Mr Sillo.

  The TFDA director for Food Safety, Mr Raymond Wigenge, also noted that it was illegal for the company to produce and promote a food product prior to obtaining permission from the authority. “They were supposed to obtain a permit from us and we only approve products which have proved to be safe for human consumption,” he said, noting that other issues which the authority checks include packaging and proper labelling.

  “We have also to crosscheck if the advertisements for such product are not misleading,” he said. Mr Wigenge pointed out that his office received the news on December 31, last year, on the launch of the new bottled water brand and they took an initiative to consult the manufacturer and their distribution agent.

  He said they told the distributors on what was to be done which included stoppage of the promotion until the procedures were followed.
  “We have to consider some facts before taking legal measures against a person, this was the best basing on the magnitude of the problem, stopping them from producing altogether with ordering them to withdraw the products are more than enough,” added Mr Wigenge. For his part, Ms Wambura’s manager, Mr Gardner Habash, conceded yesterday that they had made a mistake when launching the product last week.

  He told The Citizen that the mistake was caused by the move to change the “Maisha pure drinking water” to the new brand name.
  Mr Habash, who is also Ms Wambura’s husband, said they had received the orders from TFDA and they were currently fulfilling the directives before bringing back the product to the market after formal registration and certification.
   
 2. n

  nndondo JF-Expert Member

  #2
  Jan 5, 2011
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 1,250
  Likes Received: 535
  Trophy Points: 280
  Yaani kweli mambo ni mambo, inamaana huyu manager hakuuliza utaratibu wa kufuata kabla ya kutumbukiza kilaji sokoni? kwa hiyo alifikiri unaweza kutupa chochote kile ilimradi kina jina la celebrity? jamani haya mambo ya kuchakachua yanamwisho wake. Tunampenda binti nakumtakia mema lakin jamani walua wat waonyeshe kaupeo kidogo, hamkuuliza? anyway uzuri ni hilo la kuwa wapole na kufanya marekebisho
   
 3. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #3
  Jan 5, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  HAhahahahahah safi sana!
   
 4. L

  Leornado JF-Expert Member

  #4
  Jan 5, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,534
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Scheisse, kama hii ishu ni kweli Jide kachemka. I cant biliv this, kweli hadi wazindue maji walikuwa hawajafata procedures?mbona ishu ilienda vizuri kwa mbwe mbwe kama vile wana baraka za TFDA ? Poor Jide.
   
 5. k

  kituro Senior Member

  #5
  Jan 5, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 176
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  najuwa hapa tatizo siyo kufuata taratibu bali hajui kuwa usipoliwa kidogo huli!, yeye anataka kula tu bila kuliwa? hiyo haiwezekani.  mie naomba tusifurahie haya kwakuwa nasi yanatupata kwa namna moja au nyingine!.
   
 6. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #6
  Jan 5, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  We all learn by mistakes... nadhani hili litakuwa fundisho na watakuwa carefully kwenye hizi issues

  "Once Bitten Twice Shy"
   
 7. shejele

  shejele Senior Member

  #7
  Jan 5, 2011
  Joined: Aug 5, 2008
  Messages: 140
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hizi set backs nyingine ni za kizembe kwa kweli, yani hii kampuni ilikua haijui hatua muhimu za kufuata ama ndio zile za bora liende tu?
   
 8. Mpogoro

  Mpogoro JF-Expert Member

  #8
  Jan 5, 2011
  Joined: Dec 7, 2008
  Messages: 361
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Nafikiri kosa sio la Jay Dee na team yake maana wao sio wazalishaji wa maji.Tatizo hili ni la Mohamed Ent ambaye amekuwa na biashara hii ya maji kwa muda mrefu.Ni procedure ambayo alipaswa kuhakikisha anaifuata au at least kuwaeleza hao wakina Jay Dee waweke mambo sawa kabla ya kwenda kutangaza na kuuza product.Hata hivyo nimefurahi kuwa wamekili tatizo na wanashughulika kulitatua!
   
 9. Askofu

  Askofu JF-Expert Member

  #9
  Jan 5, 2011
  Joined: Feb 14, 2009
  Messages: 1,668
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 133
  Ina maana kabla hajaanza mchakato hawakufanya research?? Au kwa sababu ya U-celebrite alijua yatapita tu

  Lakini Watanzania tunalishwa na kunyweshwa vitu vya ajabu sana, tuombe Mungu atusaidie
   
 10. C

  ChiefmTz JF-Expert Member

  #10
  Jan 5, 2011
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 2,521
  Likes Received: 292
  Trophy Points: 180
  Hili ni tatizo ambalo lingekwisha kirahisi. Hoja hapa si new product, bali ni use of new name.
   
 11. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #11
  Jan 5, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  tfda sijui ndo nani nadhani hawakupewa mgao wao ndo maana wanapiga kelele.
   
 12. B

  Biro JF-Expert Member

  #12
  Jan 5, 2011
  Joined: Aug 27, 2010
  Messages: 331
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 60
  nina wasiwasi kuwa image ya brand itaathirika kwa kiasi fulani watu wakijua yaliingia sokoni na kuondolewa kwa muda, kila mtu atakuwa na tafsiri yake, mnakumbuka maji ya maisha yameshindwa ku pick kwa sababu hapo mwanzo ilishawahi kutokea kuna batch production yake haikuwa nzuri? mpaka sasa yana struggle!
   
 13. Gudboy

  Gudboy JF-Expert Member

  #13
  Jan 5, 2011
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 799
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  manager
   
 14. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #14
  Jan 5, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  hili ni swala competion tu,from uhai-kilimanjaro and dasani.sio mbaya ila kimsingi product ni ileile ya maji sh 200 ya mohamed enterprises ambayo yatauzwa bei juu baada ya kuwa branded na JayDee.
  TFDA wanaacha mambo ya msingi kama madawa ya kujichubua ,madawa feki ya pharmacies na kushikilia bango formalities za kusajili brand kwao,wakati wanayotaarifa kuwa kiwanda cha maisha sasa kinatoa brand nyingine itakayoitwa jaydee
   
 15. Kiresua

  Kiresua JF-Expert Member

  #15
  Jan 5, 2011
  Joined: May 13, 2009
  Messages: 1,202
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  naona ni sahihi kama ndivyo ilivyo, bravo TFDA, lakini hamjatuambia kuhusu juu ya Utafiti wa Prof. Mbwete. TBS wameukana utafifit hui na kusema unaupotoshaji, sijui ni kwa viipi MD anatoa tamko wakati waliofield wamesema vinginevyo. akumbuke huu ni utafiti uliofanywa kwa miaka zaidi ya 3, halafu yeye kwa wiki moja ansema si kweli!!! jamani nasisi tunaweza kupambanua mambo ati!!

  TBS kaeni kimya mchinjiwe baharini, kasi mbofu mbofu!!!

  TFDA semeni kama mlikuwa hamjui juu ya shida hii ya maji yasio na ubora na ambayo ni sumu (yanasababisha kansa) kuwa sokoni...... manakomalia tuu bidhaa za Jeidiii.... uuuu Nnji Yangu TZ mhhhhh!!!!
   
 16. J

  Jibaba Bonge JF-Expert Member

  #16
  Jan 5, 2011
  Joined: May 6, 2008
  Messages: 1,224
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  Hakuna kitu hapo. Maji yatendelea kuwa sokono na TFDA hawatafanya kitu. Believe me. TFDA hawana ubavu kumzuia MO. Just wait and see
   
 17. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #17
  Jan 5, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Maji ni yale yale tu na radha ni ile ile tatizo ni nembo ya Jay Dee

  Lakini Jay Dee hana tatizo labda kiwanda hakikupeleka tone za kutosha kule TFDA kama kifuta jasho
   
 18. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #18
  Jan 5, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  huu ndio mshahara wa kuajiri mtu asiye na vigezo wala sifa... si ajabu hata job description hana...

  wangeajiri competetent person haya yasingetokea

  WHAT A SHAME
   
 19. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #19
  Jan 5, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  mkuu kuna taratibu zake la sivyo tungeuziwa kila kitu aisee... hata ukibadili tu manufacturing site ni lazima uombe approvals za kufanyia production kwenye new site... hata lebo ina maana yake

  yale sio magitaa

  i hope watajifunza kuwa sirias sasa and professionals as well
   
 20. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #20
  Jan 5, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Unamaana Gadner ndo meneja wa haya maji mkuu?

  Lakini kiwanda kile si kinaelewa fika taratibu fika za kufuata unapo ingiza bidhaa yenye nembo mpya?
   
Loading...