Leo ni kiboko.

Leo ni kiboko.

well miliiona miaka ya 2000,kulikoni mkubwa asubuhi asubuhi na filamu? Au ndo kusema haufanyi kazi leo?
 
Usingizi ulikata kama saa tisa.
Kisa... Nilikuwa naota niko na shemeji yako, kuja kutahamaki , niko peke yangu.
Baada ya hapo nilienda kwenye library yangu na kuibua hii kitu
 
Hapo umejielezea vyema, mi nlidhani umeenda kwenu uchaggani kuhesabiwa
 
o k nimekusoma mkuu,kama vipi tafuta once upon a time in mexico imekaa kama muendelezo wa hiyo desperado na huyohuyo mtu mzima banderas. Kila la heri kiongozi.
 
Back
Top Bottom