Wakuu wote heshima mbele
natafuta CCM Manifesto (English version) kwa ajili ya Academic na sio kugombea ubunge. ya kiswahili ninayo
Natanguliza shukrani.
I am coming up to 25 and am sick of people saying to me things like:
1. Quarter of a century. Time is getting on now. You need to be thinking about settling down and kids.
2. No longer a young...
Ndugu zangu jana Kuna tukio nimeliona Mtaani kwetu muda wa usiku wakati narudi nyumbani mpaka saa hii nashikwa na mashaka sana kuhusu usalama wa raia na mali zao maeneo kadhaa nchini haswa yale...
Nimekuta ndio mazungumzo ya Jenerali Ulimwengu kwenye Sibuka FM kipindi cha crossfire ndio yanaishia,kwa hakika Jenerali Ulimwengu kweli ni Jenerali,katika mazungumzo yake kaelezea mengi kati ya...
POLISI WANAWAKE TOKA UK WATOA MAFUNZO KWA POLISI WENZAO WA TANZANIA
Na Mohammed Mhina, wa Jeshi la Polisi
DAR ES SALAAM JUMANNE AGOSTI 24, 2010. Jeshi la Polisi nchini kwa kushirikiana na...
*
Wananchi wenye hasira wamemuua na kumchoma moto kijana mmoja aliyetuhumiwa kuiba piki piki, . Tukio hilo limetokea katika eneo la kimara Mwisho pembezoni mwa barabara iendayo Morogoro...
Ndugu wapendwa
Kwako mama MUNYAGI kila mtu anathamani kazi yako uchapakazi wako na uadilifu wako
lakini pengine hili yawezxekana ulijui ama kuna wachafuzi hapo TCAA wanakuchafulia kazi
zako.
Kuna...
Hivi unajua Kuna taasisi zitoazo huduma kwa umma wa Tanzania, ambazo zinatoza customers kwa USD? .
Hii inapingana na kauli yako uliyoitoa hivi karibuni kwa kusema quotation katika USD si tatizo...
IMEFAHAMIKA, kuwa idadi ya wanaume wa Kitanzania wenye mbegu za uzazi zisizorutubisha hivyo kutoweza kurutubisha yai la mwanamke na kusababisha mimba inaongezeka. Kwa mujibu wa gazeti la The...
Mwanamama huyu anaefanya shughuli ya kuombaomba mitaani mkoani Arusha,leo ameipata fresh baada ya kutembezewa mkong'oto na kina mama wenzie wa mkoani hapo kwa madai kwamba anawadhalilisha kina...
Ilikuwa ni baada ya kumaliza paper ya mock (Form Four Mock Examination)miaka kadhaa iliyopita! Baada tu ya kumaliza paper, nikajiona kama mkataba wangu na mambo ya skonga ndo ushaisha! Wiki...
MEDIA RELEASE
RwandAir takes delivery of its second Boeing 737-500
Carrier set to start operations into Kinshasa and Dubai via Mombasa. Johannesburg daily flights now possible.
August 20...
Wakuu nilikuwa nafuatilia kipindi cha kipima joto ndani ya ITV leo, ambapo swali lililokuwa likijadiliwa ni 'kukithiri kwa ujambazi wa kutumia silaha nchini' Studioni alikuwepo mwenyekiti wa...
Hongeraa.
Hapo kwenye bold naomba nikusahihishe kwamba mnatoa elfu 53 cash na siyo laki moja. kama umepewa na receipt basi ada itakuwa imepanda.
sisi wa mwanzo tulilipa alfu 35, waliokuja awamu ya...
MKUU wa Upelelezi wa makosa ya Jinai Kanda Maalumu ya Dar es Salaam,
Kamishna Msaidizi wa Polisi, Charles Mkumbo amekanusha kumshurutisha
mshitakiwa Deogratias Mgasa kutoa maelezo...
ndala ama kandambili kama zinavyojulina na wengi, humsitiri sana mtu aingiapo msalani, kwa kawaida anayejua vizuri umuhimu wa afya yake hawezi ingia msalani bila kandambili,
je CCM imetusitiri...
kuna tangazo moja la zain limefanywa na Kibonde ambalo naona ni wazi limekaa sana kimipasho yaani kuponda huduma ya mshindani wake. kwa nini wasiinadi bidhaa yao bila kutaja au kukosoa vya wenzao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.