wamachinga wa kichina wapewa siku30 wawe wametimua kwao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wamachinga wa kichina wapewa siku30 wawe wametimua kwao

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by zamlock, Jan 6, 2011.

 1. z

  zamlock JF-Expert Member

  #1
  Jan 6, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 3,849
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  je ni kweli hawa wachina kuondoka kwenda kwao? Yangu macho kwa sababu wahindi wamejaa na wachina tena awana hata vibari vya kuishi hapa na kufanya kazi na kulipwa mishahara mikubwa sana
   
 2. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #2
  Jan 6, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Hii serikali feki sana.nina maswali mawili ya msingi
  1.je ni hatua gani watachukuliwa watendaji waliowaingiza na hatimaye kuwaruhusu kufanya biashara za kimachinga?
  2.why 30 days? Kwa nini sio siku 2 au 3 au mwaka?

  Mawaziri watambue hatuna haja ya kuwaona kwenye luninga instead tunataka tuone changes.wapu***z wakubwa nyie.
   
 3. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #3
  Jan 6, 2011
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,684
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Wachina wasiondoke, mbona wanashindwa kushughulikia ufisadi wa maswahiba wao (Wahindi na Waarabu) wanabaki kunyanyasa wafanyabiashara wadogo?
   
 4. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #4
  Jan 6, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,272
  Trophy Points: 280
  Wachina wanaofanya uchuuzi lazima waondoke kwani hapa dampo?
   
 5. Prodigal Son

  Prodigal Son JF-Expert Member

  #5
  Jan 6, 2011
  Joined: Dec 9, 2009
  Messages: 963
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  Hili ni changa la macho

  Hawa watu hawataondoka nchi ambayo inaendeshwa kama haina wenyewe ambapo wenye pesa uwe raia au sio rai unaweza kufanya kitu chochote ili khali sheria zipo.
  Wakati naibu waziri anasema waondoke boss wake waziri wa Viwanda yupo INDIA kutafuta wamachinga,,,,

  Sitashangaa kusikia hawa WACHINA wana vibali halali,,,,,na baraka zote za OLE NAIKO na TIC,,,naibu waziri ungeanzia TIC, BRELA, na manispaa utuambia ni wachina wangapi wapo,,,na vibali walivyopewa ni vya namna gani, na wamepewa na nani,, sheria inasemaje

  Sitashangaa kusikia WACHINA wa KARIAKOO wameifungulia serekali mashtaka,,na kuamriwa kulipa mabilioni,,,,,,,,,,,,,,hii bongo kila kitu kinawezekana

   
 6. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #6
  Jan 7, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  chang la macho hlo akuna lolote
   
Loading...