Post of the month proposal

Tausi Mzalendo

JF-Expert Member
May 23, 2010
1,471
722
Mods,
Naomba kupendekeza tuwe na post ya mwezi... ila vigezo vyake sijui vitakuwaje...
kwa kuanzia napendekeza post ya Prodigal Son katika thread ya:
Re: wamachinga wa kichina wapewa siku30 wawe wametimua kwao
Hili ni changa la macho

Hawa watu hawataondoka nchi ambayo inaendeshwa kama haina wenyewe ambapo wenye pesa uwe raia au sio rai unaweza kufanya kitu chochote ili khali sheria zipo.
Wakati naibu waziri anasema waondoke boss wake waziri wa Viwanda yupo INDIA kutafuta wamachinga,,,,

Sitashangaa kusikia hawa WACHINA wana vibali halali,,,,,na baraka zote za OLE NAIKO na TIC,,,naibu waziri ungeanzia TIC, BRELA, na manispaa utuambia ni wachina wangapi wapo,,,na vibali walivyopewa ni vya namna gani, na wamepewa na nani,, sheria inasemaje

Sitashangaa kusikia WACHINA wa KARIAKOO wameifungulia serekali mashtaka,,na kuamriwa kulipa mabilioni,,,,,,,,,,,,,,hii bongo kila kitu kinawezekana

Hapo kwenye bold pameniacha hoi!
 
umesahau wasomali waliojana kariakoo, nyumba moja unaweza kukuta wasomali 30
 
Usiombe Mchina apangishe nyumba yako! Atafungua kiwanda humo ndani.Akijakutoka utajuuuta maana pesa ya kuikarabati ni zaidi ya pesa ya kodi waliyokulipa!Huu ni uwekezaji!!
 
Mods,
Naomba kupendekeza tuwe na post ya mwezi... ila vigezo vyake sijui vitakuwaje...
kwa kuanzia napendekeza post ya Prodigal Son katika thread ya:
Re: wamachinga wa kichina wapewa siku30 wawe wametimua kwao
Hili ni changa la macho

Hawa watu hawataondoka nchi ambayo inaendeshwa kama haina wenyewe ambapo wenye pesa uwe raia au sio rai unaweza kufanya kitu chochote ili khali sheria zipo.
Wakati naibu waziri anasema waondoke boss wake waziri wa Viwanda yupo INDIA kutafuta wamachinga,,,,

Sitashangaa kusikia hawa WACHINA wana vibali halali,,,,,na baraka zote za OLE NAIKO na TIC,,,naibu waziri ungeanzia TIC, BRELA, na manispaa utuambia ni wachina wangapi wapo,,,na vibali walivyopewa ni vya namna gani, na wamepewa na nani,, sheria inasemaje

Sitashangaa kusikia WACHINA wa KARIAKOO wameifungulia serekali mashtaka,,na kuamriwa kulipa mabilioni,,,,,,,,,,,,,,hii bongo kila kitu kinawezekana

Hapo kwenye bold pameniacha hoi!
Sasa we Sijui MJOMBA, au shangazi, unaanzisha thread na kupendekeza ghafla mtu wako...huoni kuwa unaleta utata?...

Waache watu wa'digest stuff uliyowapa, na wao wapendekeze utaratibu mzuri wa ku'approach hicho ulischosuggest!...vinginevyo itakuwa nifujo...

Ni sawasawa na mtu anakwambia kuwa "tuanzishe mchezo wa kibati, na mimi ndo wa kwanza kupewa mgao"...lazima italeta maswali...
 
Halafu unasema "vigezo sijui itakuwaje"!!....Lakini tayari umesuggest!!!..sasa umetumia vigezo gani wakati mwenyewe huvijui vya kuanzia?
Jamani tuwe makini kuanzisha hizi tuzo-uchwara, maana naona zinakuja kwa kasi sana sasa hivi!
...mtu ukiona kitu kinakuhusu one way or another basi mzuka unakupanda na unajikuta unapropose tuuu!
 
Wazo zuri, wahusika walifanyie kazi, kwamba si lazma kuwe na tuzo, basi hata watu wakituma posts zinazowavutia inakuwa inapendeza. Unajua sometimes unakuwa unaona kama vile thanks haitoshi, sasa sio vibaya ukiimuvusisha ile post iliyokutach kwene kona ya maapresiesheni.
 
Back
Top Bottom