Msaada tafadhali: Special needs School in Tanzania. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada tafadhali: Special needs School in Tanzania.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kweli, Jan 6, 2011.

 1. Kweli

  Kweli JF-Expert Member

  #1
  Jan 6, 2011
  Joined: Jul 14, 2007
  Messages: 1,124
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Wana JF nilikuwa naomba msaada wenu tafadhali, nilikuwa naomba kujuzwa kuhusu upatikanaji wa shule/centre zinazotoa elimu kwa watoto walemavu. Sio wale wa viungo.
  Nina mwanangu wa miaka 9 ambaye ana maradhi yanayojulikana kwa jina la Autism, mpaka sasa ana matatizo ya kuongea ( haongei hata neno moja) na basically anahitaji msaada katika kila jambo, kuanzia kula na mahitaji mengine yote.
  Kwa muda huu (tokea amezaliwa) tunaishi nje ya nchi ambapo anahudhuria shule maalum (special needs school) lakini nilikuwa na malengo ya kurudi kuishi nyumbani mwaka ujao 2012,infact nilitarajia kurudi mwaka huu lakini nilikwama kutokana na nimeshindwa kupata shule itakayomfaa mwanangu kutokana na tatizo lake, karibia shule zote nilizofahamishwa zinashughulika na walemavu wa viungo, hao wataalamu nilipowauliza wengi wao walinikatisha tamaa, kwa vile wengi wao hawajui hata hio autism ama Autistic spectrum disorder ndio ulemavu wa aina gani?
  Naomba taarifa zifuatazo kwa mtu mwenye uelewa wa shule inayofaa kwa mtoto ambaye ni Autistic kwa Dar-es-salaam ama Zanzibar.
  Location, Contact info, jee walimu ni Qualified special education teachers/Caretakers? facilities za shule, learning resources nk.
  Natanguliza shukurani.
   
 2. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #2
  Jan 6, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Kupata wataalamu wenye weledi kama walioko huko ni ngumu.ila jaribu kuulizia patandi arusha,hapa wanaweza kuwa na watu wenye experience na mambo hayo.sina uhakika kama wanayo boarding school.try to contact them ingawa sina adress yao.pole sana
   
Loading...