Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

SIKU 16 kabla ya kufanyika wananchi kupiga kura, askofu mkuu wa Kanisa la Anglikana, Dk Valentino Mokiwa amedai kuwa hivi karibuni alipelekewa rushwa ya Sh11 milioni na mtu asiyemfahamu ili...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
1.Nawaomba amkeni, Enyi mlio vitandani, Amkeni wajameni, Amkeni msione soni. 2.Msilale kama pono, Tena bila ya maono, Tushikamane mikono, Ili kuonesha mfano. 3.Umefika muda tena, Tulioungoja...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu naomba kuelimishwa juu ya hili maana mimi najua hapa duniani kuna vitu viwili vyenye nguvu asili navyo ni MAJI NA MOTO!Sasa basi mimi ninaomba kujua kati ya hivyo nikipi chenye nguvu kuliko...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
WanaJF: Hii imekaaje? Polisi kuchunguzana kuhusu tuhuma zinazoelekezwa kwao wenyewe? Daima jamaa hawa hulkindana, hivi kweli haki itatendeka? Soma habari hii: IGP Mwema: Tunachunguza...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Mumbai property, named Antilia after a mythical island, is worth £630m and comes complete with three helipads. Mukesh Ambani is having a few friends round to celebrate moving into his new Mumbai...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Nimepokea ujumbe sasa hivi, ukionyesha kuwa sehemu ile maarufu ya B-Bar leo kuna Sale ya Kitimoto. Nimeona nisiwe mchoyo niwajulishe na nyie wadau, japo tukapunguze machungu ya Kampeni. Karibuni
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimekuwa nikisoma hoja mbalimbali za wanaJF na ningependekeza hoja zijengwe kuhusu suala hili. Baadhi ya wanaJF wamesema urais si lelemama ni kitu complicated etc. Sasa mimi natoa challenge, je...
0 Reactions
46 Replies
7K Views
wadau nahitaji kufahamu mtu anatumaje hivyo vitu pale maana hamna maelekezo yoyote. au anabandika yeye mwenyewe
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau, Leo nimeshuhudia watoto wakishiriki ktk maadhimisho ya Siku ya Mwl. Nyerere na kuhitimisha mbio za mwenge katika kile kilichoitwa harahiki kule Kigoma. Mimi sipingi hizi harahiki bali...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
16th October 10 Inflation drops to 4.5 pct – a five-year low The Guardian Reporter Tanzania`s year-on-year inflation rate slowed last month to its lowest level...
0 Reactions
0 Replies
926 Views
Katika kipindi cha hivi karibuni nilikuwa Dubai kwa mambo kadhaa ya mabusiness, na kwa bahati mbaya kabla sija maliza kile kilichonipeleka pale muda wa visa yangu ukawa umeisha hivyo kutakiwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Poleni sana ndugu zangu "Wapendwa" nawapa pole nikijua kuwa mlio wengi hamkuwahi kuwaza kujikuta katika hali hiyo. lakini pole zaidi kutokana na maneno ya kashfa mnayoyapata kuanzia kwa watu wasio...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari wakuu, jamani kama kweli watanzania tunataka kumuenzi hayati baba wa taifa bac ifikapo tar 31 october tufanye ivyo kwa kuingoa ccm madarakani kupitia kura zetu kwani mwl alichukia rushwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakati Tanzania leo ikiadhimisha miaka 11 tangu kufariki kwa Baba wa Taifa Mwl. Julius K. Nyerere, maadhimisho hayo yanafanyika kitaifa mkoani kigoma ikiambatana na na kuzimwa kwa mwenge wa uhuru...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mussa Juma, Arusha SERIKALI imeutaka uongozi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro International Airpot (Kia) kurekebisha mfumo wake wa utendaji kazi ili kuvutia , abiria na ndege...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Fungua hapa 1. Google Tafsiri 2. http://www.youtube.com/results?search_query=credit+card+skimming&aq=2 uone video tofauti zinazoonyesha mbinu na vifaa mbali mbali zitumiwazo na wazi wa fedha...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu zangu wanajamiiforums, ningependa to share article ifuatayo na natarajia kwamba since we dare to talk openly, hatutaone ikifutwa au wanachama wa jamiiforums kama mimi kuwa suspended kwa...
0 Reactions
155 Replies
17K Views
Wakubwa, Sasa hivi nimepata sms toka sehemu nisiyojua imejiandika CCM ajaribu kuangalia sorce yake ilikotoka sipati number ujumbe umeandikwa hivi " Vyama vya siasa vilivyoandikishwa Tanzania ni...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Piga kura ili kujua TV gani inaoongoza kwa ubora Tanzania; Ingia kwenye mtandao huu; http://FreeOnlineSurveys.com/rendersurvey.asp?sid=ps9qv6m7yi7xll4818241 Pia Mtumie na mwenzako mtandao huu...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Originally Posted by menda Hebu nifahamisheni ndugu zanguni!hawa wastaafu wa jumuiya YA AFRIKA MASHARIKI kwa upande wa Tanzania wataendelea kusota mahakamani,barabarani kwenye jua mpaka...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…