Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,405
- 100,599
Poleni sana ndugu zangu "Wapendwa" nawapa pole nikijua kuwa mlio wengi hamkuwahi kuwaza kujikuta katika hali hiyo. lakini pole zaidi kutokana na maneno ya kashfa mnayoyapata kuanzia kwa watu wasio na ulewa hadi kwa wale wenye madaraka makubwa nchini, eti kwamba kupata kwenu UKIMWI ni kiherehere chenu; mimi nakataaa.
Naomba sana soma Speech hii, na kisha mpelekee na mwingine, kijana huyu aliwatoa machozi UN sijui huyu anaewakashifu kama aliiona hii.
http://www.beholders.org/spirit/inspirationalpeople/110-nkosijohson.html