Hi mitandao yetu Vipi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hi mitandao yetu Vipi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by ELNIN0, Oct 15, 2010.

 1. ELNIN0

  ELNIN0 JF-Expert Member

  #1
  Oct 15, 2010
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 3,771
  Likes Received: 221
  Trophy Points: 160
  Wakubwa,

  Sasa hivi nimepata sms toka sehemu nisiyojua imejiandika CCM ajaribu kuangalia sorce yake ilikotoka sipati number ujumbe umeandikwa hivi " Vyama vya siasa vilivyoandikishwa Tanzania ni 18 lakini hakuna hata cha kimoja ukiviweka kwenye mizani vitafikia CCM, Chagua CCM chagua KIKWETE" Sender CCM


  Najiuliza hivi hawa ma operator wa mitandao yetu wameshajiingiza kwenye kampeni? Je tume ya Mawasiliano inachukua hatua gani? Juzi tukaambiwa tumekuwa tukichangia 10% kwenye CCM bila sisi kujujua.

  Naanza kukosa imani na hii mitandao yetu, ni matawi ya CCM haya.
   
 2. GM7

  GM7 JF-Expert Member

  #2
  Oct 15, 2010
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 492
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Hapo kwenye redi. huenda yawezekana kwa ufisadi na rushwa.
   
Loading...