re:KAMA KWELI WATANZANIA TUNATAKA KUMUENZI HAYATI NYERERE | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

re:KAMA KWELI WATANZANIA TUNATAKA KUMUENZI HAYATI NYERERE

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by drphone, Oct 16, 2010.

 1. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #1
  Oct 16, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Habari wakuu,
  jamani kama kweli watanzania tunataka kumuenzi hayati baba wa taifa bac ifikapo tar 31 october tufanye ivyo kwa kuingoa ccm madarakani kupitia kura zetu kwani mwl alichukia rushwa kutoka moyoni ata ukimwangalia kwa macho unaona ivyo, akupenda kulimbikiza mali kama wafanyavyo viongozi wengi leo hii,akuwa fisadi wala akupenda ufisadi.

  ccm ya leo aifati yale mema ya mwl so tutamwenzi kwa kura yetu ya hapana hapo tutakuwa tumefanya jambo zuri
   
 2. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #2
  Oct 16, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  tuna nia kabisa ya kumuenzi baba lakini hawa jamaa unawajua walivyo chori chori....tutajitahidi kadri ya uwezo wetu.....mimi na kizazi changu kuanzia cha kwanza hadi cha nne tumejiandaa kufanya hivyo
   
 3. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #3
  Oct 16, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  ucjali binamu chori chori inamwisho wake na mwisho umewadia uwezi kudanganya au kuibia watu milele watanzania wakikataa kuchakachuliwa watawongoza na nani? nipe jibu binamu
   
Loading...