Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Oil giant BP is to put $20bn (£13.5bn) in a compensation fund for victims of the Gulf oil spill and will not pay shareholders a dividend this year. Barack Obama announced the compensation deal...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
The deaths happened on Saturday near the capital Mogadishu when members of the Hizbul Islam group stormed a house where people were watching Nigeria play Argentina. A further 10 people were...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Critics don’t think former president helped Tanzanian journalism Mkapa Former Tanzanian President Benjamin William Mkapa is a former respected journalist, which is why he was invited as one of...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Sakata la Wachina wanaojizolea dhahabu Chunya 'lanoga' Felix Mwakyembe, Mbeya Raia Mwema Juni 16, 2010 Serikali yakiri kutopata kitu Wananchi wadai kuathirika kisaikolojia na kiafya Mkuu...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba. Chama cha Wananchi (CUF) kimesema serikali ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ni wavivu wa kufikiri, hali ambayo kila mwaka inawafanya...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
UINGEREZA imeendelea kuiweka serikali kwenye hali ngumu baada ya kuieleza kuwa tabia ya kutegemea misaada ya wahisani pekee kwa shughukli za maendeleo hakitaisaidia nchi kujikwamua kiuchumi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika siku za hivi karibuni nimeshuhudia vifuniko ambavyo vinatumika kufunika bia za TBL vikiwa na kutu kwa kiwango kikubwa. Bia ambazo nimekumbana nazo binafsi ni Kilimanjaro na Ndovu ambapo...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wadau, nauliza hivi juzi kulikuwa na msiba wa mke wa Ben Mengi,sasa ulivyotangazwa kwenye vyombo vya IPP na Raisi wa nchi yetu Kikwete kukatiza shughuli za nchi na kuudhulia je uyu Ben...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wahusika watajwa, ni Waarabu Waporomosha maghorofa Kariakoo Washirikiana na vigogo, maofisa wa TRA TAARIFA zimekuwa zikimiminika chumba cha habari cha Raia Mwema kuelezea zaidi mtandao wa wizi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Flavius,yule Myahudi wa Kigiriki,alikuwa haruhusiwi kuingia Hekaluni,kwa vile alikuwa hajatahiriwa na hajabatizwa;pia kwa vile alikuwa mpenzi mkubwa wa vitu vizuri katika sanaa na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau, SIku ya mechi kati ya Brazil na Taifa Stars, Klabu ya Yanga ilikuwa na Mkutano Mkuu wa Wanachama. Tarehe ya Mkutano huo iligongana na tarehe ya mechi kati ya Brazil na Taifa Stars...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Leo nimesoma makala murua kutoka kwa mwandishi mahiri wa gazeti la watu makini liitwalo Raia Mwema ndugu Johnson Mbwambo ,hayo makala ni somo tosha kwa wanao itakia mema nchi hii,naomba kwa wale...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani wana jamii forum wenzangu nathamini sana michango yenu na ninajua ina umuhimu mkubwa katika taifa letu....ngoja niwashauri tu jambo moja...mimi ni dada na si kaka tafadhalini tafadhalini...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
WATU wanaoaminika kuwa majambazi wamevamia nyumbani kwa Naibu Waziri wa Fedha na Uchumi, Omary Yusuf Mzee na kupora gari la mwanae lenye thamani ya Sh12 milioni. Mbali na kupora gari hilo, watu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Taarifa za ndani zinadokeza kuwa afisa mmoja wa NSSF (Bw. Kinunda) amejeruhiwa na kulazwa hospitali ya Aga Khan baada ya kupigwa na watu wanaodhaniwa kuwa ni vibaka huko anakoishi Kimara. Kwa muda...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ndugu zanguni bado hali ya kuachia mambo yaende hovyo inazidi kushamiri hapa TZ kwa sasa kituo cha daladala pale Mwenge kimegeuka gulio kwani sasa daladala zinabanwa na hata abiria nao hukosa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
MPs are raising questions regarding a Sh59 billion discrepancy in the Budget read by Finance Minister Uhuru Kenyatta. Chairman of the Budget Committee Elias Mbau raised the matter, saying the...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jana usiku nilipata taarifa kutoka kwa jamaa yangu mmoja anayeishi Rome, Italy kwamba ndugu yake wa kike aliyekuwa amemwalika kumtembelea pale Roma, alizuiliwa uwanja wa ndege wa Fumicino yeye na...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
New revenue source tip-off By Judica Tarimo 15th June 2010 Tanzanians in diaspora offer hints Minister of Foreign Affairs and International Cooperation, Bernard Membe Tanzanians...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom