Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,401
- 100,568
Nimepokea ujumbe sasa hivi, ukionyesha kuwa sehemu ile maarufu ya B-Bar leo kuna Sale ya Kitimoto.
Nimeona nisiwe mchoyo niwajulishe na nyie wadau, japo tukapunguze machungu ya Kampeni.
Karibuni
Nimeona nisiwe mchoyo niwajulishe na nyie wadau, japo tukapunguze machungu ya Kampeni.
Karibuni