Kutuma picha, muziki kwa michuzi

Kutuma picha, muziki kwa michuzi

Raia Fulani

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2009
Posts
11,866
Reaction score
4,263
wadau nahitaji kufahamu mtu anatumaje hivyo vitu pale maana hamna maelekezo yoyote. au anabandika yeye mwenyewe
 
Unamtumia yeye mwenyewe, akiamua anaweka au la kwani blog ni YAKE. Ameweka email address yake kwenye blog yake
 
nimeona hiyo email inasumbua ndio maana nikauliza huku. thx kwa info
 
achana naye
anafanya monitoring kali kwenye globu yake.
anatumiwa hivyo hataki slight mistakes
 
Back
Top Bottom