Wastaafu wa jumuiya ya Afrika Mashariki

Wastaafu wa jumuiya ya Afrika Mashariki

menda

Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
8
Reaction score
0
Originally Posted by menda Hebu nifahamisheni ndugu zanguni!hawa wastaafu wa jumuiya YA AFRIKA MASHARIKI kwa upande wa Tanzania wataendelea kusota mahakamani,barabarani kwenye jua mpaka lini?Wenzao kwa upande wa Kenya na Uganda wamelipwa marupurupu yao muda mrefu sasa .Je kwa Tanzania labda tupo makini sana na utawala bora pengine ndiyo maana hawajalipwa?Ama ni katika ule mfumo wa upotevu wa EPA?

:smile:
 
Nasikia wameziba tena barabara ni kweli??
 
Back
Top Bottom