Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Jamani wana jamii forum wenzangu nathamini sana michango yenu na ninajua ina umuhimu mkubwa katika taifa letu....ngoja niwashauri tu jambo moja...mimi ni dada na si kaka tafadhalini tafadhalini...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
WATU wanaoaminika kuwa majambazi wamevamia nyumbani kwa Naibu Waziri wa Fedha na Uchumi, Omary Yusuf Mzee na kupora gari la mwanae lenye thamani ya Sh12 milioni. Mbali na kupora gari hilo, watu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Taarifa za ndani zinadokeza kuwa afisa mmoja wa NSSF (Bw. Kinunda) amejeruhiwa na kulazwa hospitali ya Aga Khan baada ya kupigwa na watu wanaodhaniwa kuwa ni vibaka huko anakoishi Kimara. Kwa muda...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ndugu zanguni bado hali ya kuachia mambo yaende hovyo inazidi kushamiri hapa TZ kwa sasa kituo cha daladala pale Mwenge kimegeuka gulio kwani sasa daladala zinabanwa na hata abiria nao hukosa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
MPs are raising questions regarding a Sh59 billion discrepancy in the Budget read by Finance Minister Uhuru Kenyatta. Chairman of the Budget Committee Elias Mbau raised the matter, saying the...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jana usiku nilipata taarifa kutoka kwa jamaa yangu mmoja anayeishi Rome, Italy kwamba ndugu yake wa kike aliyekuwa amemwalika kumtembelea pale Roma, alizuiliwa uwanja wa ndege wa Fumicino yeye na...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
New revenue source tip-off By Judica Tarimo 15th June 2010 Tanzanians in diaspora offer hints Minister of Foreign Affairs and International Cooperation, Bernard Membe Tanzanians...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nnimefungua video hii kuhusu tabia za wasukuma lakini siamini ebu jitazamie mwenyewe gonga hapa
0 Reactions
0 Replies
8K Views
Ndugu zanguni labda yawezekana wengi wanaweza kulitetea hili lakini hii ndio hali halizi wakati watanzania wengi wanasubiri pesa za mshaara mwisho wa mwezi inasemekana WAH WA EWURA WANAWAJUA...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani sijui niseme nini kuhusu hili tangazo la Zain la kusisitiza ni sh. Moja Tu na Kibonde wa Clouds FM linavyoboa kama nini, likifika tu uwa nabadilisha channel. Mimi nafikiri hawa Zain...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nimekuwa nikijiuliza hivi mtu ukiwa Banned ( Kufungiwa) Unajisikiaje, naomba wale wote waliwahi kupewa Ban na Mods watueleze Experince zao hii inaweza kuwasaidia memba wengine wasichezee Sharia za...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wageni wanaoletwa nchini kufanya kazi kama expatriates ni mbumbumbu wa kutupwa. Eti utamwona mhasibu katoka india hajui hata kazi ya uhasibu huku Cv yake inaonesha ana masters. Kunani huku...
1 Reactions
26 Replies
5K Views
Ndugu zangu Simon Jengo ambaye ni Mzee wa Kanisa Azani Front Cathedral,pili ni mwalimu wa kwaya kuu Azania Front, tatu yuko kwenye kamati ya maandalizi mikutano ya kiroho ya mwalimu Christopher...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Habari nzuri kwa watanzania walio nje ya nchi na wanamipango ya kurudi nyumbani By ROSE ATHUMANI THE government has unequivocally recognized Tanzanians of the Diaspora as among the country's...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hivi process yetu ya kufikia bajeti ipoje Tanzania? Najua nchi nyingi kama si zote duniani bajeti ya nchi inakua swala la kisiasa zaidi. Lakini je wataalamu mbali mbali wa serikalini haswa kwenye...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nianze kwa kumnukuu hayati Baba wa Taifa enzi za uhai wake alipata kusema hivi kuhusu chuo kikuu. "A university is an institution of higher learning; a place where people's minds are trained...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Vuvuzela Radio - The sound of the vuvuzela! Vuvuzela Radio is a station dedicated to playing the sound of the vuvuzela, the famous South African blowing horn the whole world learned to love (or...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kuna stori naifuatilia kuhusu kasheshe ya maji maeneo ya Kimara - Mbezi, kama mnavyofahamu kwa wale wakazi wa maeneo ya Kimara - Suka - Temboni- mpaka Mbezi tatizo la maji limekuwa kama...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Opposition offers ‘lesson' on Budget Mr Hamad Rashid Mohammed presents the Opposition's alternative Budget in Parliament in Dodoma. By Tom Mosoba, Dodoma The Opposition in...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Dar City Council: We will run UBT By Dominic Nkolimwa 14th June 2010 Ubungo Bus Terminal After a prolonged battle over the management of the Ubungo Bus Terminal, the Dar es Salaam...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom