Samahani wana JF naomba kuuliza ule mgomo wa wafanyakazi nchi nzima umeishia wapi? Kama nakumbuka vizuri baada ya mgomo ule wa kwanza kusitishwa, TUCTA walitoa siku nane za majadiliano (Kwa waziri...
Ukisikia duniani kuna vioja basi sikiliza kingine hiki. Bw. Salvatory Ndeje mwenye umri wa miaka 62 mkazi wa wilaya ya Mpanda mkoani Rukwa amenusurika kifo katika jaribio lake la kutaka kujiua kwa...
Kwa nini serikali haikuonyesha ghadhabu kali kwenye suala la
Richmond?
Ziko wapi ghadhabu za serikali kwa waliohusika na rushwa katika
ununuzi wa rada?
Zipo wapi ghadhabu za serikali kwa...
Kuna ajali imetokea mlangoni mwa makazi ya rais maeneo ya Mikocheni ikihusisha lori aina ya Fuso baada ya kuingukia gari ndogo aina ya pick up, juhudi kubwa zilikuwa zikiendelea kuliondoa gari...
Shule ya Msingi Nduli, ni kilomita takribani 20 kutoka Iringa mjini kwenye jimbo la uchaguzi la Isimani. Pichani ni wanafunzi 120 wa darasa la kwanza chini ya mwalimu Daniela. Mazingira hayo ni...
ratiba ya wiki
jumatatu-jahazi modern taarabu-ddc magomeni.
jumanne-FM-academia ngwasuma -billz
jumatano-twanga billz
alhamis--machozi band-savannah lounge
ijumaa--hii ni kila ukumbi starehe na...
Salaam,nina dukuku kubwa linalonisumbua kila siku ninaposikiliza vipindi toka kituo cha hii redio clouds,hivi lengo la hii steshen ni kuponda shughuli za watu au?kwa maana nilisikitishwa sana...
Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, John Magufuli.
Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, John Magufuli, ameiponda dhana ya polisi jamii inayotumiwa na...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Fedha na Uchumi), Dk. Mwinyihaji Makame Mwadini.
Makontena 50 ya saruji yenye thamani ya Sh. milioni 114.8 yameingizwa...
Mi huwa nakereka sana na TBC mnaposema "........Kama alivyotutumia habari hii kwa njia ya internet/mtandao/satelite".
Nia yenu hasa ni nini? tuogope?? au tujue mmeendelea sana ki-technologia? au...
BALANCE SHEET OF LIFE :confused2:
Our Birth is our Opening Balance! Our Death is our Closing Balance! Our Prejudiced Views are our Liabilities Our Creative Ideas are our Assets!
Heart is our...
20th May 2010
Yalifunga mitaa usiku saa mbili
Yakapora duka moja moja
Yakaua raia wawili kwa risasi
Vilio, simanzi na majonzi, vilitawala jana katika eneo la Vingunguti Faru, jijini...
Nimekuwa nikipata malalamiko toka kwa Baadhi ya Member kwamba Avatar yangu inawakera kwa maana haiwafurahishi sana. Natoa nafasi kwa wana JF wenye Mapenzi mema na Mimi mnishauri kama yafaa...
Wakuu,
Wengi wamekumbana na ujumbe huu:Your browser (browser version) is out of date. It has known security flaws and may not display all features of this and other websites. Learn how...
Maoni ya katuni
Katika ukurasa wa tatu gazeti hili leo kuna habari kuhusu wanafunzi zaidi ya 400 wa shule za msingi na sekondari mkoani Ruvuma kukatisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.