Moshi priest charged with sodomy - daily news

KALAMAZOO

JF-Expert Member
Nov 27, 2010
265
10











From PETER TEMBA in Moshi, 6th December 2010 @ 12:00, Total Comments: 1, Hits: 299

A CATHOLIC priest on Monday appeared before a magistrate’s court here charged with committing unnatural offence (sodomy) on a 16-year-old boy.

The accused Stanslaus Salla (60), pleaded “not guilty” before Resident Magistrate Simon
Kobero and is out on a 10m/- bail.

Prosecuting, State Attorney, Abdallah Chagula, said the accused allegedly committed
the offence on October 30, at Kilema Lasso area.

The court adjourned the case to January 10, next year, for another mention. The accused was, however, accorded special treatment before he appeared in court.

He did not come in a police truck like other suspects and was also not kept in the court’s lock-up facili

Hii imekaaje bandugu? hasa in red

 
misconception of our justice! all remandees should be treated equal... its clear there r classes in our society
 
Does this also need a new constitution? How does the current constitution say about equal justice?
 
Mapadre woote wapewe wake ili kuepusha balaa hizi na za ushoga miongoni mwao

Kwani wake ndiyo suruhisho?? Mbona nasikia Pemba mbambo haya ni mbele kwa mbele. Kwani wao hawana wake pia. Ndiyo maana ZNZ wameamua kuwafunga miaka 20 kwa kosa hilo.
 
Kwa hili nasema kwa sauti kuu kwamba wengi wa mapadre ni watu wanaoendesha maisha kiintelejensia kuliko kiimani. Wanafanya mambo kwa kifichi sana kwa hofu ya wanadamu kuliko wanavyomwogopa Mungu. Ndio maana visa vingi vilivyowekwa wazi vya mahusiano ya kingono ya mapadre ni mwingiliano wa kinyume na maumbile tena baya zaidi ni kwa wanaume wenzao. Haya hayakutokea kwa bahati mbaya bali yanalenga mkakati wao wa kukwepa matokeo kama ya ujauzito ili wasiwe wazi kwa jamii wanayoidanganya kwamba wao ni ma-cluny. Hakuna mahali hata pamoja katika biblia yao panapodai kutokuoa au kuolewa kama sharti la kumtumikia Mungu. Ila wao sasa kwa sababu wameamua kumtii mtu zaidi ya Mungu, wanalazimika kutokuoa kama sharti kuu la kusimikwa kuwa padre. Sasa hili ni kinyume na asili na ni kinyume na sharti la mtu kuwa askofu ama shemasi katika biblia kwani inamtaka awe ni mume wa mke mmoja. Mwenye kuweza kuitunza nyumba yake mwenyewe kabla ya kukabithiwa kanisa. Sasa padre hana nyumba hana mtoto uchungu wa mwana ataupata wapi? No wander fahamu zao zimekufa na hawawezi kutofautisha matumizi ya mke na mme na wala watoto hawana dhamani yeyote kwao. Huu ni wakati muafaka wa kanisa katilic kurejelea misingi ya asili ya binadamu na kuyafurahia maisha ya ndoa na watoto wao wenyewe kama Mungu alivyoagiza katika kitabu kitakatifu, Mwanzo 2:18-25.
 
Sasa hii habari ni ya kuwekwa kwenye jukwaa la siasa kweli!?

Ndugu yangu ingewekwa wapi tena? Mkuu wa nchi ambaye ni mwanasiasa kasema kuna mpasuko wa kidini hapa nchini na kwa bahati nzuri ya mefanywa na watu wa dini tofauti si ndio fursa za kuzitumia hizi au. Hivi gazeti lililo andika hii habari linamilikiwa na nani?
 
hakyanani mapadri wanatumalizia watoto. waruhusiwe kuoa tu
 
Sasa hii habari ni ya kuwekwa kwenye jukwaa la siasa kweli!?

Hasaa,hii habari inafaa kuwepo kwenye jukwaa la siasa kwani mbali na tendo lenyewe kuwa ni kosa la jinai pia mtuhumiwa anapewa special treatment.Sasa nauliza hii special treatment nayo inahitaji katiba mpya ndo iondoke?
 
Back
Top Bottom