Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu, Wengi wamekumbana na ujumbe huu:Your browser (browser version) is out of date. It has known security flaws and may not display all features of this and other websites. Learn how...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Maoni ya katuni Katika ukurasa wa tatu gazeti hili leo kuna habari kuhusu wanafunzi zaidi ya 400 wa shule za msingi na sekondari mkoani Ruvuma kukatisha...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Yalifunga mitaa usiku saa mbili Yakapora duka moja moja Yakaua raia wawili kwa risasi Vilio, simanzi na majonzi, vilitawala jana katika eneo la Vingunguti Faru, jijini...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
BALOZI wa Sweden, Staffan Herrström amekomelea msaumari mwingine katika kuitaka serikali kuwa makini na fedha za walipa kodi aliposhauri kuwepo na umakini katika matumizi ya fedha za umma...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
On Facebook, go to your profile page and scroll all the way down to the bottom. On the bottom left corner in little blue letters, click "English US" (or whatever). When the language selection...
0 Reactions
3 Replies
12K Views
Kuna jamaa yangu alienda ofisi za uhamiaji leo kutafuta pasi ya karatasi ili aende Uganda cha ajabu akaambiwa karatasi za pasi zimeisha Dar es Salaam yote akitaka aende Kibaha Mkoa wa Pwani...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Maoni ya katuni. Kuna mauaji yameripotiwa kutokea katika Kanda ya Ziwa yakihusu makada wawili wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Mauaji haya ingawa yanatajwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Matumbawe Wataalamu wa sayansi ya baharini nchini wanaesema kwamba matumbawe katika mwambao wa Tanzania, hasa kisiwani Zanzibar yanakabiliwa na hatari ya...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, William Lukuvi. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, William Lukuvi, amemcharukia Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji hilo, Bakari...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
MWANAMKE mmoja amejikuta akiwa katika mazingira magumu baada ya mume wake kumkuta akiwa baaa na mwanaume mwingine aliyokua nae katika mahusiano ya kimapenzi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ni baada ya kukamatwa wakijihusisha na mapenzi ya jinsia moja BLANTYRE, Malawi JAJI wa mahakama ya Malawi, Nyakwawa Usiwa amewahukumu kifungo cha miaka 14 jela wanaume wawili waliokamatwa kwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
20th May 2010 Yalifunga mitaa usiku saa mbili Yakapora duka moja moja Yakaua raia wawili kwa risasi Vilio, simanzi na majonzi, vilitawala jana katika eneo la Vingunguti Faru...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Je Matumizi ya Serikali +Wizara na Mikoa ni Siri ya Serikali? ninawazo la kukusanya taarifa za matumizi ya wizara,na ofice za mikoa na halmashauri, Idada ya magari,gharama za spare na services...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
HALMASHAURI ya Wilaya ya Bagamoyo, mkoani Pwani, inatarajia kukusanya zaidi ya Sh22 bilioni kutoka katika vyanzo vyake mbalimbali vya mapato, katika mwaka ujao wa fedha. Fedha hizo ndizo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Afariki Kwasababu ya Imani Yake Joshua...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
London, England (CNN) -- Men lie the most and feel less guilty about it -- but women are the better liars, a British survey has found. The most common fib for men is denying that they've had...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama unatokea kuwa against na mafisadi na rais wa nchi anatumika vilivyo kukumaliza ukiwa wewe mwananchi wa karibia unafundishwa nini kwa hili???nimeanza kumwogopa kama ukoma.. huyu rais...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ilikuwa majira ya saa nne na nusu usiku wa jana,Polisi wa kituo cha Oysterbay walipotumia risasi za moto kuumua kijana Octavian fundi magari eneo la Victoria karibu na...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Kwa wale ndugu zangu wa kule nyanda za juu kusini kazi kwenu! YouTube - Broadcast Yourself.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Closed
Good morning, Ladies and Gentlemen. This is your captain FUTAKAMBA. On behalf of Air Tanzania Ltd, I'm welcoming both seated and standing passengers on board of Air Tanzania Boeing 737. We...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom