Kutahiri Wanawake

HansMaja

Senior Member
Nov 9, 2010
102
114
Jamani nimesikia huko Musoma (Tarime) shughuli ya kuwatahiri na kuwaharibu dada zetu inaendelea kwa kasi...hii ikoje? Kwanini serikali inashindwa kukomesha hii shughuli? Akina dada -hivi hawa akina dada wenzenu wanaokimbilia kutahiriwa na kuharibiwa mnawachukuliaje? Kuna dada yeyote aliyewahi kufanyiwa anayeweza akachangia hapa?
 
Kutahiriwa kwa wanawake ni jambo lililokuwa kinyume na sheria na serikali imelisimamia kidete suala hili.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom