Free books for students and travelers in PDF format

MashaJF

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
246
119
Hi Guys,

Nimetafuta sehemu ya education in general sijaona, naona kuna technology and science only. Nataka kushare nanyi vitabu hivi kwa kada zote, science, technology. management etc.

Download free books at BookBooN.com

Nafikiri na kwa watanzania tukianzisha kitu kamahiki kitasaidia sana, tuwatumie maprofessor wetu kuandika vitabu visiuzwe viwe bure kama hivi na tutawafadhili kwa donations. Just thinking!!!
 
hi guys,

nimetafuta sehemu ya education in general sijaona, naona kuna technology and science only. Nataka kushare nanyi vitabu hivi kwa kada zote, science, technology. Management etc.

download free books at bookboon.com

nafikiri na kwa watanzania tukianzisha kitu kamahiki kitasaidia sana, tuwatumie maprofessor wetu kuandika vitabu visiuzwe viwe bure kama hivi na tutawadhili kwa donations. Just thinking!!!

thx mkuu nitajaribu kudowload.
 
Mwanangu hili bonge la resource, bonge la resource, liko legal, lina vitu quality halafu halina bs.

Babu kubwa!
 
This is what most of people in developing countires miss 'SPIRIT OF SHARING KNOWLEDGE' especially books. Thanx very much U deserve 20 USD M ready to provide if u give ua go ahead.
 
hi guys,

nimetafuta sehemu ya education in general sijaona, naona kuna technology and science only. Nataka kushare nanyi vitabu hivi kwa kada zote, science, technology. Management etc.

download free books at bookboon.com

nafikiri na kwa watanzania tukianzisha kitu kamahiki kitasaidia sana, tuwatumie maprofessor wetu kuandika vitabu visiuzwe viwe bure kama hivi na tutawafadhili kwa donations. Just thinking!!!

ubarikiwe!
 
Hi Guys,

Nimetafuta sehemu ya education in general sijaona, naona kuna technology and science only. Nataka kushare nanyi vitabu hivi kwa kada zote, science, technology. management etc.

Download free books at BookBooN.com

Nafikiri na kwa watanzania tukianzisha kitu kamahiki kitasaidia sana, tuwatumie maprofessor wetu kuandika vitabu visiuzwe viwe bure kama hivi na tutawafadhili kwa donations. Just thinking!!!

mkuu ubalikiwe saaaan
 
Back
Top Bottom