Waziri lukuvi apata msiba.........

kilimasera

JF-Expert Member
Dec 2, 2009
3,068
270
Dada mdogo wa waziri na mbunge wa jimbo la Ismani mkoani Iringa Mhe.Wiliam Lukuvi (pichani) amefariki dunia katika hospitali ya mkoa wa Ruvuma ambako alikuwa amelazwa kwa ajili ya matibabu ,mwili wa marehemu unataraji kuwasili kesho asubuhi katika kijiji cha Ifunda kibaoni ambako ni nyumbani kwa marehemu ODINA huyu kwa ajili ya shughuli za mazishi , habari ziwafikie ndugu wote wa Lukuvi popote walipo ,ukoo wa kalinga , ukoo wa akina Godwin na ndugu jamaa na marafiki .

NB. Mpendwa mdau wa mtandao huu mimi Francis Godwin kama mmiliki wa mtandao huu wa Francis Godwin ni mzee wa matukio daima marehemu alikuwa ni mamangu mdogo hivyo napenda kukuomba radhi kuwa kwa siku ya kesho katika mtandao huu hautaweza kupata tukio jipya zaidi ya shughuli za mazishi zitakazofanyika kijiji cha Ifunda Kibaoni .
 
Back
Top Bottom