Jengo Bora na Sanifu kwa Dar ni Lipi??

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
42,688
93,655
Umoja House,

Kwanza halikujengwa kwa Tofali, limejengwa kwa nondo toka ardhini na kumiminwa zege tupu la nchi 12!. hivvyo ni bomu proof na tetemeko proof.

Ndani ni fire proof na vioo ni bullet proof, hivyo kwa maeneo ya mjini, linaweza kuwa ndio jengo salama kuliko majengo yote ya mjini, kwa nje ya mji, siwezi jua, labda Ubalozi wa Marekani.

Tikuja kwenye ubora na sanifu, hiyo ni relative, ubora kwako unaweza kuwa ni udhaifu kwa mwingine, na usanifu kwako unaweza kuwa ni cha mtoto kwa mwingine, lakini kwa vigezo vyote muhimu, Jengo bora town center kwa yale niliyoyaona mimi ni Umoja House!.
 

Emanuel Makofia

JF-Expert Member
Jan 5, 2010
3,840
628
JENGO BORA NA SANIFU.
YOU WILL NEVER GET AN ANSWER.

Unless you categorize them being
a.Residential
b.commercial
c.Residential cum commercial
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom