Mwanahalisi linachafua chadema au kuua chadema, silitaki tena

Kisendi

JF-Expert Member
Jan 29, 2009
699
178
Ndugu wana JF, mimi nilikuwa mnunuzi mzuri wa MWANAHALISI, lakini wiki hii limenitia kichefuchefu, kwamba Mh Zitto anawasiliana na wanausalama wa taifa hili?? Je kuwasiliana na mtu kuna tatizo.
SASA sitalinunua tena?? Mbona zitto wanamuandama sana, MWANAHALISI MNABOA SASA MMEKUA MAGAZETI YA UDAKU tunayajua yale ni magazeti ya uongo na ushabiki.
KWELI KAMA wanamtakia mema Zitto wakiulize chadema majibu watakayotoa ndo waandike. HUU NI UPUUUUUUUUUUUUZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZ mtupu.
Andikeni na kero za mabarabara yetu basi, maana hata huo ufisadi tumesoma sana lakini hakuna wayforward hata kidogo.
 
Kuwasiliana na Usalama wa taifa si kosa ila kosa ni kutoa siri za chama kwa usalama wa taifa.
 
QUOTE=mfarisayo;kosa ni kutoa siri za chama kwa usalama wa taifa.

And vice versa is true. i.e. usalama wa taifa unatoa siri za taifa kwa CHADEMA via Zitto.
 
Ndugu wana JF, mimi nilikuwa mnunuzi mzuri wa MWANAHALISI, lakini wiki hii limenitia kichefuchefu, kwamba Mh Zitto anawasiliana na wanausalama wa taifa hili?? Je kuwasiliana na mtu kuna tatizo.
SASA sitalinunua tena?? Mbona zitto wanamuandama sana, MWANAHALISI MNABOA SASA MMEKUA MAGAZETI YA UDAKU tunayajua yale ni magazeti ya uongo na ushabiki.
KWELI KAMA wanamtakia mema Zitto wakiulize chadema majibu watakayotoa ndo waandike. HUU NI UPUUUUUUUUUUUUZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZ mtupu.
Andikeni na kero za mabarabara yetu basi, maana hata huo ufisadi tumesoma sana lakini hakuna wayforward hata kidogo.

Yaani ndugu yangu gazeti likiandika habari ambayo haikufurahishi (hata kama ni ya kweli) basi gazeti halikufai!!
 
Back
Top Bottom