Waziri wa afya aumbuliwa na mkurugenzi wa manispaa temeke: | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waziri wa afya aumbuliwa na mkurugenzi wa manispaa temeke:

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Dec 10, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Dec 10, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,613
  Likes Received: 5,783
  Trophy Points: 280
  Siasa siasa siasa jamani
  katika kuendeleza upuuzi wa kisiasa ulioanzishwa na mawaziri wanyuma kufyatuka kila wanapochaguliwa jana gazeti moja limemuumbua rasmi mh waziri wetu wa afya aliepita hapo na kukuta wafanyakzi wa hosp ya temeke wakilalamika wizi mtupu kuna posho wanapaswa kulipwa awapewi zinatiwa mfukoni na wakurugenzi na wakubwa

  wakati hayo yakiendelea mh waziri aliamka na kubwatuka nasema hivi nimepata malalamiko yenu kabla na nimeonyeshwa na barua yenu nnimemwamuru mh mkurugenzi anipe majibu kabla sijaondoka;;wakati hiyo ikiendelea wazir alipewa barua inayoonyesha wanatakiwa kulipwa sh ngapi wafanyakazi..


  Alipofwatwa mkurugenzi ndipo aibu nyingine ikaja akadai anasoma kwenye magazeti na kucheka maana hata huyo waziri ajaonana nae wala ajapewa barua wala simu kuambiwa ajieleze chochote..kifupi unajua kuna posho zinatakiwa kutolewa na barua hii hapa saasa sijui hiyo aliopewa waziri yangu inaonyesha ni wakubwa kadhaa na baadhi ya mdk wa kiwango cha tgs1 na si kila dk......

  Watanzania nawaletea kwenu mjue jinsi tunavyochakachuliwa na hawa mawaziri wizi mtupu
   
Loading...