Waziri dk chami watanzania sio wajinga kihivyo!!!kubali yaishe ama ukae kimya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waziri dk chami watanzania sio wajinga kihivyo!!!kubali yaishe ama ukae kimya

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Dec 15, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Dec 15, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,485
  Likes Received: 5,721
  Trophy Points: 280
  Wapendwa majuzi tumeona kwenye gazeti kuna vigogo kama kumi wamejilimbikizia vitalu vya kuvuna mbao uko sao hill kichekesho kila mtu ukimuuliza anasema alichukua kwa ajili ya kuvuna mbao za shule zake jimboni..wakati hayio yakiendelea baadhi hata shule moja ukiuliza jimboni zinaitwaje awazijui lakini wanakomaa na mradi wa shule..hiiiii niiiiiiiiiiii laaaaaaaaaaaaaannaaaaaaaaaa jamani wale watoto wanakaa chini mnafikiri wakilia kwa MUNGU wao atawaaacha nyie..haya sina la zaidi

  Kichekesho kaja huyu mwingine anadai ati wanamsingizia yeye alichukua kwa ajili ya shule lakini ukisoma gazeti utaona walichukua alafu wakakodisha kwa wafanyabiashara huu ni utapeli mkubwa DK CHAMI KAA CHINI UNYAMAZE USISHINDANE NA USHAHIDI WA MUNGU

  KAMA ULIKUWA NA NIA HIYO UNASEMA UKASHINDWA KULIPIA KODI UKAAMUA KUWAPA WAENDELEE WENGINE HAO WENGINE NI NANI SI NDIO HAO WAFANYABIASHARA TUNAOLALAMAIKIA MNAFANYA MITAJI HIVYO VYEO VYENU LAANA HIZI MTAPELEKA WAPI NYIE MAWAZIRI ..NILIMUONA NA CELINA KOMBAN NA WENGINE WENGI MUNGAI,,,JOSEPF..NK
   
 2. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #2
  Dec 15, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Mhhh kazi tunayo
  Na kwenye file lake tume ya maadili investment hiyo kaiweka?
   
 3. M

  Majala Kimolo JF-Expert Member

  #3
  Dec 15, 2010
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 344
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  dUH KAMA NDIO HIVYO BASI ANAREJESHA KALE KAMCHANGO KAKE ALIKOKATOA KWENYE KAMPENI ZA jk. Hivi huyu mkaka si ndo mwenye ile Hotel pla mrogoro inaitwa ToP laif, tena jiwe la msingi linaonyesha alifungua yeye mwenyewe. Ama kweli cha Mgema huliwa na mlevi
   
 4. D

  Dick JF-Expert Member

  #4
  Dec 15, 2010
  Joined: Feb 10, 2010
  Messages: 477
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tanzania ya leo, ni tofauti na ya zamani. Sasa hivi wanazungumza na kudai haki zao. Angalia vizuri mh.
   
 5. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #5
  Dec 15, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,485
  Likes Received: 5,721
  Trophy Points: 280
  Anafikiri watanzania ni wale wa kina nyerere tumeamka sasa maskini tajiri wote wanataka aki zao...hawa vongozi nashangaa sana tatizo moja wamechanga kwenye mgao wa jk kuingia madaraani ndio maana haya makelele jk ayasikii ipo siku tutamlazimisha
   
 6. Obi

  Obi JF-Expert Member

  #6
  Dec 16, 2010
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 376
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hapo kwenye red mkuu. Nafikiri bado sana Watanzania hatujaamka in fact tumekufa mtu aliyekufa hawezi kutetea/kudai haki yake. Tu wazuri wa kuongea kuliko matendo.
   
 7. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #7
  Dec 16, 2010
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,704
  Likes Received: 82,627
  Trophy Points: 280
  Neno hilo Mkuu!

   
Loading...