Na Boniface Meena
MWENYEKITI wa Tanzania Labour Party (TLP), Augustine Mrema amezuliwa jambo baada ya jarida moja la demokrasia kueleza jinsi alivyotumia fedha nyingi kukodisha nyani kwa ajili...
Kuna ajali imetokea usiku karibu na mataa ya Chang'ombe ukitokea Karume ikihusisha Treni na Magari mawili ya abiria, moja ikiwa ni ya Mbagala na nyingine ya Tandika. Majeruhi ni wengi japo...
11 January 2010
Zitto kazana na shule, achana mambo ya siasa kwa sasa.Siasa utazikuta ukishapata PhD yako, si una ndoto ya kugombea urais wewe? Sasa ukifeli hiyo shule hiyo ndoto yako...
Huduma za "zein one network " ni mbovu sana. Mimi nipo drc (congo) wiki ya pili sasa nashindwa kuingiza vocha kwenye simu. Nimejaribu kuwasiliana na watanzania wengine waliopo hapa wenye laini za...
Pictured: The schoolgirl who 'cries' blood and bleeds through her pores
By Graham Smith
Last updated at 1:00 PM on 11th January 2010
Comments (4)
Add to My Stories
A schoolgirl who...
Summary Timeline
YEAR
PRESSURE
CHANGES IN STATE
RESPONSE AND CHANGES IN GOVERNANCE
1885
Tanganyika became a German colony
● Mangrove managed under ordinance
1898
German...
Maambukizi ya ukimwi Iringa sasa yanatisha
Matumizi makubwa ya fedha kupambana na maambukizi mapya ya virusi vya ukimwi Mkoani Iringa, bado hayajasaidia sana kutokana na takwimu za sasa kuonyesha...
i. Katika Siasa
......Katika zama zetu hizi za hadaa, muonekano ndio ukweli na wanaofanya mambo yanayoendana na mantiki na wakaruhusiwa kuendelea kuwa katika nafasi zao ni wachache. Rahisi...
Is this the world's first Twitter murder? Man blasted to death with a shotgun after online argument with friend
Last updated at 10:12 PM on 11th January 2010
Police in the U.S. are...
Just been talking to a TZ friend of mine this afty and she has told me something quite interesting. I quote her,"We TZ girls, right after our first period, we are taken to the bush and taught...
Si mda mrefu nilikuwa bongo katika tembea tembea,nikawa nakutana na washkaji wamenin'giza flashcard shingoni.Nilipomuuliza jamaa yangu akaniambia kuwa ukitembea na nayo ndio watu wanajua kuwa wewe...
LUANDA, Angola
WENYEJI wa fainali za Mataifa ya Afrika, Angola, usiku wa kuamkia leo, walishindwa kuutumia vizuri uwanja wao wa nyumbani baada ya kutoka sare ya mabao 4-4 na Mali.
Mechi hiyo ya...
Hamjambo wana jf, naomba mnijuze kama kuna anayejua forum nyingine tamu au inayofanana na jf, kama mnavyojua kila siku mboga hiyo hiyo inachosha, ukilala jf..ukiamka jf. na ndio maana hata ukiwa...
Mie napenda kuuliza, kama ni sawa kusherehekea mauaji ya wazanzibari yaliyofanyika mwaka 64.Wengi watakuja na hoja zao yameleta ukombozi na porojo jengine, jee ni sawa kusherehekea mauaji ya 1972...
Wadau,kwa miaka mitatu UDSM imekuwa ikitoa degree tatu kupitia Taasisi ya Habari na Mawasiliano ya Umma sasa SJMC ambazo ni Mass Communication,Public Relations and Advertising na...
Sasa hivi ninapoandika mambo haya wanafunzi wa vyuo vya Taasisi za Afya Shiriki Muhimbili, ambao ndio uti wa mgongo wa shughuli za maabara, uuguzi na baadhi ya tiba katika hospitali ya Taifa...
Limewakaa kooni miaka miwili
Safari hii ni ama wao au serikali
Wabunge wakiwa kwenye kikao chao mjini Dodoma (Picha kutoka makataba)
Wiki hii inaanza kwa kamati za Bunge kujadili...
Nimekutana na hii huku hewani a.k.a internet nikaona niwaonyeshe na nyie, dhumuni kubwa ni kuwaonyesha hawa dadazetu wanaojiita 'mamodo' kuwa hatukubaliani na aina hii ya utangazaji wa biashara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.