Tukumbushane ya nyuma na ya kale | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tukumbushane ya nyuma na ya kale

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KAUMZA, Oct 10, 2010.

 1. K

  KAUMZA JF-Expert Member

  #1
  Oct 10, 2010
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 685
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  JF MEMBERZ! Miaka ya 1980's iliripotiwa habari na kusambaa nchi nzima kuwa kuna mtu(mwanamume) maeneo ya Buguruni DSM aligeuka CHATU(NYOKA) baada ya kuoga maji yaliyochanganywa na dawa alizopewa mkewe na mganga wa kienyeji eti ili zimfanye mumewe azidi kumpenda mama huyo. Habari hiyo ilivuta hisia za watu wengi hapa nchini na ilitangazwa na RTR, gazeti la UHURU na MFANYAKAZI.
  Anaekumbuka vema tukio hilo naomba atupe utamu wa tukio hilo
   
 2. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #2
  Oct 10, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,461
  Likes Received: 5,846
  Trophy Points: 280
  Ya nyuma tena?
   
 3. Ruge Opinion

  Ruge Opinion JF-Expert Member

  #3
  Oct 11, 2010
  Joined: Mar 22, 2006
  Messages: 1,696
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  Huu ni uvumi tu ambao unaibuka Dar mara kwa mara. Kuna wa mwanamke mwenye kwato. Mwanamke fisi. Omba omba wanaofanya wafadhili wao kuota manyoa au kupotea. Mengi tu. Ni upuuzi mtupu.
   
Loading...