Nyimbo za taifa zagoma tena mbele ya rais!

Dingswayo

JF-Expert Member
May 26, 2009
4,019
2,923

KATIKA hali ya kushangaza nyimbo za Taifa ziligoma tena kupiga kabla ya mechi ya Taifa Stars na Morocco kuanza kutokana na hitilafu katika vyombo vya kupiga nyimbo hizo. Nyimbo hizo zililazimika kupigwa kabla ya kipindi cha pili kuanza. Tatizo kama hili liliwahi kutokea katika mechi ya kirafiki kati ya Brazil na Taifa Stars ambapo wimbo wa timu ya Taifa ya Brazil uligoma kupigwa. Halafu mambo haya ya 'kiswahili' yanatokea mbele ya Kiongozi wa nchi, jamani!!

Je hii ni ishara?
 
Ni ishara kuwa JK muda wake wa urais umeisha expire. Tunasubili Oct 31 tumalize kazi
 
ndiyo tz hiyo. nobody cares. yataisha hivyohivyo mpaka next time zitakapogoma tena..
 
Hivi kuna mtu yeyote held responsible on this issue
Au ndio mambo ya kishkaji
 
Na ndio maana tukafungwa, bora asingekuwepo.

Ati naye anashangaa nyimbo kubuma

IMG_1734.jpg
 
Aibu kubwa mbele ya wageni!
Ni wazi kuna watu walitakiwa watest hivi vyombo mapema sana kabla ya tukio, lakini inaonyesha hawakujiandaa!...Lakini kwa vile wanajua hawawezi kufanywa kitu, basi hawawajibiki.
JK na ajue kwamba yeye mwenyewe anaumizwa na ukondoo wake, tena kwenye kadamnasi...too bad!
 
Jamani kama kuna aliyenisoma ijumaa kwenye post niliyotuma kuhusu taifa stars na morocco unaweza ukadhani mi ni mtabiri ila siyo mana nilisema kama jk ataudhuria ile match tutafungwa tu na imekuwa hivyo.
 
Mshahara wa dhambi huo. Jamaa walitingwa kuchakachua mapato na kuingiza watu kinyemela na kugawa vipeperushi vya JK wakasahau kutest mitambo husika. Tanzania ilipofika sasa inahitaji mabadiliko na yanakuja believe me and forget about REDET and SYNOVATE wana sisiemu hao. Tukapige kura watz tuonyeshe mabadiliko most of the time yanakuja pakiwa na mabadiliko sio utaratibu uliozoeleka tutazidi kuwa maskini wa kutupwa. How much yale mabango, vipeperushi zaidi ya laki moja pale taifa, magari, pikipiki nk wakati even panado ni ngumu kupata kwa mwananchi wa kawaida. I am tired i need change guys help me.
 
Zamani brass band zilikuwa zinapiga wimbo wa taifa vizuri tuu.....sasa hawa wajuaji wa TFF wakaona huo ni ushamba!!
 
Nashindwa kuelewa kabisa - hasa ikizingatiwa kuwa tatizo hili lilikwishatokea huko nyuma. Watu hawajifunzi?
 
Aibu yetu


Aibu yetu sisi, na hao TFF mpaka leo G. Hando wa Clouds FM ati aligoma ongea lakini baaadae ilimbidi tuuu ububu umwishe kwani khaaa inatia aibu sana, Ndipo hata PJ wa ledio hiyo hiyo alisema TFF waaache kuchukua Vyombo vya chakachua huko uswahilini na wawe wanaenda chukua japo prime time Promotion hata kama ni gharama ila tuepushe aibu khaaa
 
Hello..good morning, hello...good morning...know you been waiting for it!!

Shallow barrel prezident!!
 
Kila kitu cha kichina mpaka uwanja sasa unategemea nini?

on the contrary, JK alikuwa pale akiwa na majini yanayomlinda. na ndiyo maana tulifungwa maana majini ya jk aliyopewa na yahaya ni ya kiarabu na tulicheza na waarabu. bora mkwere yule asingekuwa pale.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom