Sidanganyiki...

Sidanganyiki...

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
78,607
Reaction score
167,410
Hivi hawa woooote,mwalimu wangu,mwanafunzi mwenzangu,mwengine kama baba yangu wanataka kunidanganya niharibu maisha yangu lol MIMI NASEMA SIDANGANYIKIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII

PAMOJA NA MANENO HAYA MAZURI YA KIJIPA MOYO, BINTI SIDANGANYIKI KADUNGWA MIMBA NA KISHA JIFUNGUA WATOTO MAPACHA.

MY TAKE:

Tusiahidi kile tusicho weza kukitekeleza.
 
Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni.

kls-wmk.php
 
إستغفار إستغفار إستغفار إستغفار إستغفار إستغفار إستغفار إستغفار إستغفار إستغفار إستغفار إستغفار إستغفار إستغفار إستغفار إستغفار إستغفار إستغفار إستغفارTema mate yako chini kisha useme إستغفار (Astaghfirullah) mara elfu.
Haiwezekani binti mantashahu kama yule aikurubie zinha (zinaa).
 
Aisee leta ushahidi kwanza....We unadhani kilabuhi humu? Ala!
 
ushaidi pls wakilisha hapa acha za mitaani
 
Mkuu, naamini unavunja heshima ya yule binti isipokuwa ukiweza kuthibitisha source credible ya habari hiyo.

Hata hivyo ujumbe wake kwa jamii ulikuwa muhimu zaidi kuliko kuteleza kwake binafsi - iwapo aliteleza.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom