Siku maalum kwa watu maalum (special day for special people)

Baba Mtu

JF-Expert Member
Aug 28, 2008
871
168
Leo ni tarehe 10/10/2010.

Ni siku maalum katika mwaka huu wa 2010 sababu kila kitu kinaishia na kumi, kuanzia tarehe, mwezi na hata mwaka wenyewe. Siku hii haitokuja tena katika mwaka huu.

Nawatakieni kila la heri katika siku na siku zijazo pia. Mungu awape afya njema hadi oktoba 31, 2010.
 
Leo ni tarehe 10/10/2010.

Ni siku maalum katika mwaka huu wa 2010 sababu kila kitu kinaishia na kumi, kuanzia tarehe, mwezi na hata mwaka wenyewe. Siku hii haitokuja tena katika mwaka huu.

Nawatakieni kila la heri katika siku na siku zijazo pia. Mungu awape afya njema hadi oktoba 31, 2010.[/QUOTE]

Naomba kurekebisha hapo kny red, pls isiwe mwisho oktoba 31,2010 bali iwe na zaidi ya hapo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom