Maajabu ya octoba 2010 haitatokea tena karibuni

Maajabu ya octoba 2010 haitatokea tena karibuni

Tausi Mzalendo

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2010
Posts
1,470
Reaction score
722
Mwezi October 2010 una maajabu yafuatayo:

Ijumaa 5, Jumamosi 5 na Jumapili 5 zote ndani ya mwezi mmoja!

Inatokea mara moja kila baada ya miaka 823
 
na leo ni 10/10/10!!!!!

Kuna harusi hapa kijijini nyingi kuliko za kawaida.. !
 
Mwezi October 2010 una maajabu yafuatayo:

Ijumaa 5, Jumamosi 5 na Jumapili 5 zote ndani ya mwezi mmoja!

Inatokea mara moja kila baada ya miaka 823

Sikubaliani na wewe, ipo miezi mingine kama July 2011, March 2013, August 2014, May 2015, January 2016 n.k
 
Mwezi October 2010 una maajabu yafuatayo:

Ijumaa 5, Jumamosi 5 na Jumapili 5 zote ndani ya mwezi mmoja!

Inatokea mara moja kila baada ya miaka 823
Na ajabu nyingine kubwa kabisa kwa Tanzania, itatokea October 31, haijawahi kutokea tangu tupate uhuru na wengi hawataamini kuwa ni kweli itatokea, subirini muujiza huo wa kubwa kuliko!
 
Pengine Mwenyezi Mungu atatupa zawaida ya Xmas ya kuifuta CCM kazi ya kuongoza nchi
 
Back
Top Bottom