Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Atoboa uadilifu umeporomoka Sasa chaanzishwa kitengo maalum Asema Ze Utamu bado wanasakwa Jeshi la Polisi nchini lipo katika mkakati madhubuti wa kujisafisha ili kulirejeshea maadili...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Jemeni hili tangazo la TCC Club limeweka funguo za magari 3. kwa waliosahau wawasiliane nao wakazichukue, Hivi kweli mtu unaweza ukaondoka na kusahau funguo za gari?? Na kama kweli umesahau basi...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Najua wengi mtakuwa na mtazamo hasi juu ya hii habari,kabla sijaanza kueleza juu ya haki za mashoga, ningependa ujue kwa nini mtu anakuwa shoga? Kila mtu atakuwa anajua, unapozaliwa una kuwa na...
0 Reactions
30 Replies
7K Views
uchaguzi wa tff unakaribia ambapo nafasi ya makamu wa pili wa tff inagombewa na ramadhan nassib na john ncimbi.lakini aliyegombea nafasi hiyo uchaguzi uliopita bwana damas ndumbaro amekuwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
MCHUNGAJI Christopher Mtikila ambaye pia ni Mwenyekiti wa chama cha Siasa cha DP jana alirudishwa tena rumande kwa kushindwa kutimiza masharti ya dhamana. Mtikila jana alijikuta akirudishwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ndugu wapendwa, Story ifuatayo ni ya kweli maana imenitokea mimi binafsi tarehe 11/11/2009. Najua kwa kiasi fulani itakuwa inaninizalilisha kwa kutokuwa makini lakini naona ni vyema...
0 Reactions
50 Replies
8K Views
KESI ya mauaji ya mfanyabiashara Abdulbasiti Abdallah (21), yanayodaiwa kufanywa na mfanyabiashara wenye asili ya kiasia Vinoth Praven (23), imeahirishwa hadi Februari 9, mwaka huu. Mbele ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Katibu Mwenezi wa CCM Mkoa wa Dar es salaam, Haji Manara (Pichani), ametiwa mbarano jana kwa tuhuma za utapeli wa magari. GPL.COM ilimshuhudia kigogo huyo akiwa kituo cha polisi magomeni akihaha...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Timu za ivory coast na cameroon ambazo zilipitia tanzania na kenya kwa ajili ya mazoezi hatimae zimeaga mashindano ya can angola wakati ivory coast walianza wenzao cameroon wameaga jana kwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
MWANAUME mmoja mkazi wa Manzese, jijini Dar es Salaam alijikuta kwenye wakati mgumu baada ya mzazi mwenzie kumsusia mtoto wakati akiwa katika sehemu za starehe akijivinjari. Mwanaume huyo juzi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
PORT-AU-PRINCE,Haiti WAOKOAJI nchini hapa wamemuokoa mwanamume mmoja kutoka chini ya kifusi ikiwa ni siku 11 tangu tetemeko la ardhi liukumbe mji huu na kusababisha maafa makubwa. Habari kutoka...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
je tutapona?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
KAMPALA,Uganda WAFUNGWA 42 waliofanya mtihani wa darasa la saba mwaka jana katika gereza la Luzira nchini Uganda wamefaulu masomo yao ya kujiunga na Sekondari. Habari zilieleza kutoka Kampala...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
KANISA la Tanzania Assembles Of God (TAG) limetaja sifa za rais wanayemtaka katika Uchaguzi Ukuu unaotarajia kufanyika Oktoba mwaka huu. Akitoa msimamo wa kanisa hilo Mbeya mwishoni mwa wiki...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Msoma mita wa Dawasco afikishwa mahakamani Kuruthum Ahmed MSOMA mita wa Kampuni ya kusambaza maji jijini Dar es Salaam(Dawasco), Chobines Mabega (38), jana alifikishwa katika Mahakama ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Leo Mkutano wa 18 wa Bunge unaaza mjini Dodoma ambao pamoja na kujadili na kupitisha miswada kadhaa, pia ripoti za utekelezaji wa maazimo mbalimbali ya Bunge itawasilishwa na serikali. Mkutano...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
NAILS IN THE FENCE Make sure you read all the way down to the last sentence. (Most importantly the last sentence) There once was a little boy who had a bad temper. His Father gave him...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
TUMECHOKA NASEMA TUMECHOKA NADHANI IFIKE WAKATI MTANZANIA ANAITAJI KUJILINDA MWENYEWE HATA KWA SILAHA YOYOTE BAADA YA KUSIKIA POLISI WAKIUA WATU UKEREWE,WANAJESHI WAKIUA WATU ARUSHA HAKUNA...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kama kipaji na utaalamu vingekuwa na jina lingine basi ingekuwa ni DJ MOSY ama Emanuel Moses Onasaa. Ni mzaliwa wa Africa ya mashariki mjini Dar es salaam nchini Tanzania. Bali ya kuwa na vipaji...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…